Lucas Mkenda ' Joti' wa kundi la Orijinol Komedi akionyesha staili ya miondoko ya kijoti joti wakati wa tamasha la uzinduzi wa albamu ya nyimbo ya dini ya kwanya ya Haleluya ya kanisa la EAGT Morogoro katika uwanja wa jamhuri mjini Morogoro wikiendi hii
Wasanii mashuhuri wa Orikjino Komedi wakijiandaa kupanda jukwaani kutoka burdani wakati wa tamasha la uzinduzi wa albamu ya nyimbo ya dini ya kwanya ya Haleluya ya kanisa la EAGT Morogoro

Juu na chini ni Kwaya ya Haleluya wa kanisa la EAGT Morogoro wakitumbuiza wananchi kweye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kati ya nyimbo zao nane zilizomo kwenye albamu yao mpya kwa wimbo wa ' Usifadhaike' ambao umebeba albamu hiyo wikiendi hii. Picha zote na mdau wa mji kasoro bahari John Nditi.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2009

    Siyo siri hawa vijana wa ze komedi wamepoteza umaarufu sana baada ya "kununuliwa " na mafisadi.sijiskii vizuri kuwatazama nikijua kuwa hela wanayolipwa ni ya wizi.kibaya zaidi ni kule kuende;ea kwao kujifanya mabibi aaaggghhh!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 09, 2009

    Kama wanapokea ushauri hawa vijana, nawashauri waachane na hili jambo la kuvaa nguo za kike, kujiremba kama wanawake n.k. Sidhani kama hio inachangia chochote katika kuchekesha zaidi inakwaza watu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 09, 2009

    Mhh michuzi huyu aliyepiga picha hasa hizo za kwaya anahitaji darasa.Asante sana kwa darasa ulilonipatia Dc, muda si mrefu nitaanzisha libeneke langu.Mdau wa Houston mpenda picha.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 09, 2009

    Watoa Comment muwe mnafanya masahihisho kabla ya kurusha kwa wasomaji wengine. makosa ni mengi sana munaharaka gani? Andikeni, halafu irudie kuisoma tena mwenyewe sawa wajameni?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 09, 2009

    Watoa Comment muwe mnafanya masahihisho kabla ya kurusha kwa wasomaji wengine. makosa ni mengi sana munaharaka gani? Andikeni, halafu irudie kuisoma tena mwenyewe sawa wajameni?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 09, 2009

    Hivi huyo Joti anaitwa Lucas Mkenda ama Lucas Mhuvile?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 10, 2009

    misupu unabania comment zetu zinazowakosoa hawa jamaa powa tu,ila nasema wananiboa wanavyowakandia wenzao waliokwama kimaisha wakijiona wao wamefika kileleni.mungu ndio anajuwa hatma ya kila binadamu leo tajiri kesho masikini,au leo masikini kesho tajiri.waache tabia hiyo watafute ucheshi wa aina nyingine.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 10, 2009

    Churaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 11, 2009

    Kuigiza sio lazima mjifanye wanawake. Hampendezi kabisa!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...