Ni moja ya mambo mazuri ya kutembelea ukiwa Colorado "The Royal Gorge on the Arkansas River near Cañon City, Colorado.
With a width of 50 feet (15 m) at its base and a few hundred feet at its top, and a depth of 1,250 feet (380 m) in places, the 10-mile-long canyon is a narrow, steep gorge through the granite of Fremont Peak. It is one of the deepest canyons in Colorado.
" imeunganika na Grand Canyon ambayo tulikuwa tuna fundishwa kwenya physical geography ya form three kama sikosei...
Karibuni
Mdau Denver.
dah, kumbe mshkaji yupo marekani...
ReplyDeletemtaalam unarudi lini home???
ReplyDeletesiku hizi wadhungu wanabofya sana hii bulogu so jaribu kuwa unaweka picha za mikumi serengeti ngorongoro crater nk achana na ulimbukeni wa marekani huo dada
ReplyDeleteanon #2, unataka kujua mtalaam anarudi home lini? ili ufanye nini? au ndo unataka kwenda kwa kalumanzila, sahau.
ReplyDeleteAnony number tatu, wewe umeisaidia vipi Tanzania kutangaza hizo mbuga ulizozitaja? au donge ndo linakuumiza, kunywa maji. hii blog ni ya Michuzi na ndo maana ametoa nafasi ya kila mtu kutoa kile anachojisikia. limbukeni ni wewe, ushasahau yale mambo ya kilimbukeni ulofanya.
ReplyDeletesasa wee mtoa mada
ReplyDeleteunatubandikia ilo ligrand canyon sijui bonde gani afu unatukaribisha
una akili wewe??linatuhusu nini si bora niangalie kitonga na senkenke?
karibisha watu wabebe box sio bonde
wee mtz au ushajilipua kijana??