Mkuu wa wilaya ya Ninhii na watanzania wenzangu katika blog hiiya jamii nawasalimia.

Ni moja ya mambo mazuri ya kutembelea ukiwa Colorado "The Royal Gorge on the Arkansas River near Cañon City, Colorado.

With a width of 50 feet (15 m) at its base and a few hundred feet at its top, and a depth of 1,250 feet (380 m) in places, the 10-mile-long canyon is a narrow, steep gorge through the granite of Fremont Peak. It is one of the deepest canyons in Colorado.

" imeunganika na Grand Canyon ambayo tulikuwa tuna fundishwa kwenya physical geography ya form three kama sikosei...

Karibuni
Mdau Denver.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2009

    dah, kumbe mshkaji yupo marekani...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2009

    mtaalam unarudi lini home???

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2009

    siku hizi wadhungu wanabofya sana hii bulogu so jaribu kuwa unaweka picha za mikumi serengeti ngorongoro crater nk achana na ulimbukeni wa marekani huo dada

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 14, 2009

    anon #2, unataka kujua mtalaam anarudi home lini? ili ufanye nini? au ndo unataka kwenda kwa kalumanzila, sahau.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2009

    Anony number tatu, wewe umeisaidia vipi Tanzania kutangaza hizo mbuga ulizozitaja? au donge ndo linakuumiza, kunywa maji. hii blog ni ya Michuzi na ndo maana ametoa nafasi ya kila mtu kutoa kile anachojisikia. limbukeni ni wewe, ushasahau yale mambo ya kilimbukeni ulofanya.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2009

    sasa wee mtoa mada

    unatubandikia ilo ligrand canyon sijui bonde gani afu unatukaribisha

    una akili wewe??linatuhusu nini si bora niangalie kitonga na senkenke?

    karibisha watu wabebe box sio bonde

    wee mtz au ushajilipua kijana??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...