nanihii akutana na mlimbwende na supa modo flaviana matata kazini kwake johannesburg. binti anafanya vyema na mkataba wake wa kufanya shoo unaoisha mwisho wa mwezi huu ameuongeza kwa miaka miwili zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2009

    Well done Flavian keep on doin your country proud achana na mahaters hawawezi isha hao.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 14, 2009

    kaka michuzi sio kila siku mikonozzzzz sometimes kiunozzzzzz,wakamate hao mamiss chance zenyewe ndio hizo wangu hahahaha,(i am kiddin)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 14, 2009

    Mkuu mbona kifua cha Flavian kimekukaribia sana? Vipi haitakuletea mshituko hiyo?

    ReplyDelete
  4. Baba UbayaJune 14, 2009

    sasa mkuu wa nani hii mbona mkono wa kulia wa supa modo kama vile kaupitisha mfukoni kwako.anachezea nini huko??alafu jua kali ama mvua kwa sana hapo??au ndo pozi za kimodo na wewe??haha

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 14, 2009

    yani chuchu zimegusa kabisa kifua cha mkubwa!!!! dah tungekuwa wenzangu na sie hapo wenye aleji na chuchuzzzzzz hali ingebadilika ghafla. chuchuzzz kwakweli ndo kiungo kinipagawishacho mwenzenu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 14, 2009

    I swear juzi juzi tu hapa nilisoma tabloids za bongo zinasema demu maisha ya s. africa yamemshinda. Waswahili jamani.

    Hongera sana Flaviana, I am rooting for you. Dont listen to stupid haters, they know they can never be like you, so they hope to destroy your esteem the best way they know how. As far as I am concerned you are the real top super model Tanzania has ever had.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 14, 2009

    Issa si mchezo, pozi unaliwezea, naona unaweza kushiriki na wewe katika mamodo wa kiume! nafikiri unaweza kutengeneza mshiko wa pembeni, ama?

    Good job Flavian!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2009

    naona mzee mna smilez ,mambo mazuri.imetulia.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2009

    Michu Wallahi sitamani kuwa mkeo maana nilivyo nawivu nafikiri ningekufa kwa kihoro kama photo album iliyoleta maneno katikati ya mji wa Mwanza. Aza waiz kiatu chako nimekimind mwanaume kiatu bwana asikuambie mtu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2009

    balozi wa nanihii...
    unaonekana u baba mzuri na mume mzuri pia naona zaidi ya mikonozzz kama kawa,leo umekuja na style ya kumsaidia "binti"mamaa kubeba mwavuli unaofanana na sketi yake

    inaonyesha mwavuli sii wako mana una landana na sketi ya "binti"

    hahahahahahaaa

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 15, 2009

    asante na uo mwavuli...

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 15, 2009

    Kaka Michu ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya T, nakuona na ile fulanazi uliyopewa kule DC na wadau wa blog yetu. UMetoka pina na ukaamua kuonyesha kwamba unaweza kuvaa husika yeyote ile uwe na waswahili utajifanya mswahili ukiwa na Mamodo na wewe utakuwa modo, fine hata kama mvua hainyeshi uwao ndani ya nyumba. Lakini je umewaaga Jamii Forum wasije wakahoji kuhusu hizo vakesheni kwani tulikuwa mawakili wazuri sana kwa issue waliyoi-raise. Lakini du, mwavuli mwavuli?!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 15, 2009

    MICHUZI LAZIMA UMEUMIZA JEANS

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 15, 2009

    Nakapenda haka katoto!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 15, 2009

    Hivi kwa nini Flaviana alizimia siku ile ya kupima Ukimwi? Msaada tutani :)

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 15, 2009

    Michuzi naww sijui utaacha lini ushamba wako,eti umetilia Tishert na jeans then chini umevaa saka Nyoka,uliona wapi jaman kuvaa huko?kuteembea kote lakini bado mshamba utafikiri sijui nini.Saka nyoka zenyewe mbaya sijui ulikosa viatu vya kuvaa

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 15, 2009

    kumbe mithupu mfupi... Flaviana bila viatu bado kakuzidi kimo!!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 16, 2009

    Hivi michuzi wee kabila gani vile? sio wale wakitumwa pesa wanafikisha lakini mmmh,akitumwa nanihii lazima ata....samahanini

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...