Home
Unlabelled
supa modo flaviana matata aendeleza libeneke
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Well done Flavian keep on doin your country proud achana na mahaters hawawezi isha hao.
ReplyDeletekaka michuzi sio kila siku mikonozzzzz sometimes kiunozzzzzz,wakamate hao mamiss chance zenyewe ndio hizo wangu hahahaha,(i am kiddin)
ReplyDeleteMkuu mbona kifua cha Flavian kimekukaribia sana? Vipi haitakuletea mshituko hiyo?
ReplyDeletesasa mkuu wa nani hii mbona mkono wa kulia wa supa modo kama vile kaupitisha mfukoni kwako.anachezea nini huko??alafu jua kali ama mvua kwa sana hapo??au ndo pozi za kimodo na wewe??haha
ReplyDeleteyani chuchu zimegusa kabisa kifua cha mkubwa!!!! dah tungekuwa wenzangu na sie hapo wenye aleji na chuchuzzzzzz hali ingebadilika ghafla. chuchuzzz kwakweli ndo kiungo kinipagawishacho mwenzenu
ReplyDeleteI swear juzi juzi tu hapa nilisoma tabloids za bongo zinasema demu maisha ya s. africa yamemshinda. Waswahili jamani.
ReplyDeleteHongera sana Flaviana, I am rooting for you. Dont listen to stupid haters, they know they can never be like you, so they hope to destroy your esteem the best way they know how. As far as I am concerned you are the real top super model Tanzania has ever had.
Issa si mchezo, pozi unaliwezea, naona unaweza kushiriki na wewe katika mamodo wa kiume! nafikiri unaweza kutengeneza mshiko wa pembeni, ama?
ReplyDeleteGood job Flavian!
naona mzee mna smilez ,mambo mazuri.imetulia.
ReplyDeleteMichu Wallahi sitamani kuwa mkeo maana nilivyo nawivu nafikiri ningekufa kwa kihoro kama photo album iliyoleta maneno katikati ya mji wa Mwanza. Aza waiz kiatu chako nimekimind mwanaume kiatu bwana asikuambie mtu.
ReplyDeletebalozi wa nanihii...
ReplyDeleteunaonekana u baba mzuri na mume mzuri pia naona zaidi ya mikonozzz kama kawa,leo umekuja na style ya kumsaidia "binti"mamaa kubeba mwavuli unaofanana na sketi yake
inaonyesha mwavuli sii wako mana una landana na sketi ya "binti"
hahahahahahaaa
asante na uo mwavuli...
ReplyDeleteKaka Michu ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya T, nakuona na ile fulanazi uliyopewa kule DC na wadau wa blog yetu. UMetoka pina na ukaamua kuonyesha kwamba unaweza kuvaa husika yeyote ile uwe na waswahili utajifanya mswahili ukiwa na Mamodo na wewe utakuwa modo, fine hata kama mvua hainyeshi uwao ndani ya nyumba. Lakini je umewaaga Jamii Forum wasije wakahoji kuhusu hizo vakesheni kwani tulikuwa mawakili wazuri sana kwa issue waliyoi-raise. Lakini du, mwavuli mwavuli?!
ReplyDeleteMICHUZI LAZIMA UMEUMIZA JEANS
ReplyDeleteNakapenda haka katoto!
ReplyDeleteHivi kwa nini Flaviana alizimia siku ile ya kupima Ukimwi? Msaada tutani :)
ReplyDeleteMichuzi naww sijui utaacha lini ushamba wako,eti umetilia Tishert na jeans then chini umevaa saka Nyoka,uliona wapi jaman kuvaa huko?kuteembea kote lakini bado mshamba utafikiri sijui nini.Saka nyoka zenyewe mbaya sijui ulikosa viatu vya kuvaa
ReplyDeletekumbe mithupu mfupi... Flaviana bila viatu bado kakuzidi kimo!!!
ReplyDeleteHivi michuzi wee kabila gani vile? sio wale wakitumwa pesa wanafikisha lakini mmmh,akitumwa nanihii lazima ata....samahanini
ReplyDelete