'Easy’ money: Yet another press conference by Commercial Crime Investigation Department director Comm Datuk Koh Hong Sun on the Nigerian 419 scam
Hii ndio ilikuwa leading story kwenye magazeti almost yote ya Malaysia na kila moja liliitoa kwa picha yake, Lakini habari yenyewe inahusu ndugu zetu toka Africa ya Magharibi jinsi walivyoweza kujipatia pesa kwa njia mbali mbali nchini Malaysia, ikiwa ni pamoja na Black Magic nk. Pichani ya kuchora ikimuonyesha jamaa akiosha makaratas na kuwa pesa na ndio iliyotumika kwenye gazeti la The Star toleo la Jumanne 2/6/2009 ukurasa wa mbele.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 03, 2009

    Nimewahi kuona hiyo sehemu sehemu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 03, 2009

    Wa-POPO ni balaa,usipime! yaani ukikaa vibaya wanaweza kukuliza mpaka usijielewe. Lakini pia wanafanya maisha kwa waafrika wengine kuwa magumu sana kwenye hizi nchi za watu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 03, 2009

    acha washamba hao wafundishwe ujanja wa africa!! africa tambarare, mwambamoto akili ku-mkichwa!!! njaa hiyo ndo iletayo ubunifu huo.!!!
    macm

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2009

    Soma muendelezo hapa, leo ni siku ya pili na imetoka tena na leo mmoja wa aliyelizwa anasimulia mkasa mzima
    http://www.thestar.com.my/news/story.asp?file=/2009/6/3/nation/4027176&sec=nation

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2009

    huko malaysia napo usiku kweli fasheni hizi hapa kwangu zilitumika miaka 20 iliopita sasa hivi watu wana stail mpya kabisa sijui lini itafika huko inalelekea kuna makondoo wengi huko

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 03, 2009

    Bongo pia wapo. Kuna kaka 1 alishakaa K/nyama guest 1 inaitwa Heko. Ana midhahabu mpaka kwenye meno. Mara ya mwisho nilipokuwa bongo alikuwa anakaa Msasani kwa wenyeji. Anafanya sana shughuli hizo. Na sio Mtanzania. Huwa anasema ni mtu wa cameroon.Lakini ni muongo.
    Ameliza sana watu. Na hasa kipindi cha uchaguzi anazitengeneza haswaaa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 03, 2009

    msg delivered to our sisters wanaoshoboka na mikoko ya manaira wakiwa hawajui imetoka wapi,ndo imekuwa fashion huku kwa dada zetu,njaa kitu kitu kibaya sana

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 03, 2009

    I will chop your dollar and dissapear,you will be a mugal I will be a winner.
    Cheki kwenye youtube its funny

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...