'Easy’ money: Yet another press conference by Commercial Crime Investigation Department director Comm Datuk Koh Hong Sun on the Nigerian 419 scam
Hii ndio ilikuwa leading story kwenye magazeti almost yote ya Malaysia na kila moja liliitoa kwa picha yake, Lakini habari yenyewe inahusu ndugu zetu toka Africa ya Magharibi jinsi walivyoweza kujipatia pesa kwa njia mbali mbali nchini Malaysia, ikiwa ni pamoja na Black Magic nk. Pichani ya kuchora ikimuonyesha jamaa akiosha makaratas na kuwa pesa na ndio iliyotumika kwenye gazeti la The Star toleo la Jumanne 2/6/2009 ukurasa wa mbele.
Nimewahi kuona hiyo sehemu sehemu.
ReplyDeleteWa-POPO ni balaa,usipime! yaani ukikaa vibaya wanaweza kukuliza mpaka usijielewe. Lakini pia wanafanya maisha kwa waafrika wengine kuwa magumu sana kwenye hizi nchi za watu.
ReplyDeleteacha washamba hao wafundishwe ujanja wa africa!! africa tambarare, mwambamoto akili ku-mkichwa!!! njaa hiyo ndo iletayo ubunifu huo.!!!
ReplyDeletemacm
Soma muendelezo hapa, leo ni siku ya pili na imetoka tena na leo mmoja wa aliyelizwa anasimulia mkasa mzima
ReplyDeletehttp://www.thestar.com.my/news/story.asp?file=/2009/6/3/nation/4027176&sec=nation
huko malaysia napo usiku kweli fasheni hizi hapa kwangu zilitumika miaka 20 iliopita sasa hivi watu wana stail mpya kabisa sijui lini itafika huko inalelekea kuna makondoo wengi huko
ReplyDeleteBongo pia wapo. Kuna kaka 1 alishakaa K/nyama guest 1 inaitwa Heko. Ana midhahabu mpaka kwenye meno. Mara ya mwisho nilipokuwa bongo alikuwa anakaa Msasani kwa wenyeji. Anafanya sana shughuli hizo. Na sio Mtanzania. Huwa anasema ni mtu wa cameroon.Lakini ni muongo.
ReplyDeleteAmeliza sana watu. Na hasa kipindi cha uchaguzi anazitengeneza haswaaa
msg delivered to our sisters wanaoshoboka na mikoko ya manaira wakiwa hawajui imetoka wapi,ndo imekuwa fashion huku kwa dada zetu,njaa kitu kitu kibaya sana
ReplyDeleteI will chop your dollar and dissapear,you will be a mugal I will be a winner.
ReplyDeleteCheki kwenye youtube its funny