juu na chini ni kundi la muziki wa mwambao la Bi. Kidude ambalo ameongozana nalo katika ziara ya ughaibuni inayoendelea hivi sasa.


Mwanamziki nyota wa kizazi kipya cha mziki wa dansi, Mr.Buti Jiwe aka Galinoma Jr. akimtambulisha kwa umati washabiki Malikia wa Mziki wa taarabu wa Afrika na Hazina ya Afrika Bi.Kidude.huko Uholanzi ambako Bi.Kidude alifanya vitu vikubwa na kuhakikishia ulimwengu kuwa yeye ni Hazina na Malikia wa mziki


Malikia wetu wa muziki wa taarabu barani Afrika Bi.Kidude ambaye pia ni hazina ya sanaa na balozi wa utamaduni akiwa na Henry Galinoma a.k.a Mr.Buti Jiwe na Mwadada fulani wakishow Love huko uholanzi majuzi ambako bi.Kidude alifanya shoo ya kufa mtu na kuchengua maelfu ya washabiki. picha zimeletwa na Ngoma Africa band




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 11, 2009

    Heshima kwako mkuu wa wilaya. Huyo bibi ni kweli ni kioo cha jamii.

    Naomba utuwekee angalau moja ya nyimbo zake za taarab ili tuweze kuburudika, kama inawezekana.

    Niliwahi kumsikia akiimba ``muhogo wa jagombè`` tu enzi hizoooo. Nadhani anazo nyingi na nzuri.

    Natakunguliza shukrani.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2009

    Hayo ndiyo mambo tunayotaka kuona, kumuendeleza mtu regardless of his/her age or race, now you really showed Tanzania an example we are looking for, kama marekani mtu anapata degree,master degree akiwa na miaka 92 why not Tanzania kumwendeleza Bi Kidude Ngome ya Utamaduni wetu? Bi Kidude Juu na udumu daima and God Bless you, endeleza kufanya mavituzi yako bibi yetu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 12, 2009

    Hii ndio hasa, ushirikiano katika usanii, Buti Jiwe hangera sana kwa ushirikiano na Bibi yetu, katika fani hii ya muziki.
    Hii imeonyesha kua hakuna tofauti ya mwanamuziki mkongwe na mwanamuziki wa kizazi kipya.Bi kidude ni kama nemba ya nchi yetu popote pale,anapokwenda.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2009

    kamwene bela mwagito Galinoma Jr

    ndi muyago wa kulaa ku-boma

    hongera sana kijana hongera sana bi kidude

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...