HABARI ZIMEINGIA SASA HIVI ZINASEMA KWAMBA KUNA MELI IMEKAMATWA BANDARINI DAR AMBAYO INASEMEKANA IMEBEBA MABOMU NA WATU WOTE WA HUMO MELINI WAMEKIMBIA NA KWAMBA HAKUNA SHUGHULI INAFANYIKA HAPO BANDARINI MPAKA SASA.
WAFANYAKAZI WA BANDARI IMEWALAZIMU KUAMBIWA WATOKE NJE YA BANDARI BAADA YA BOTI YENYE SPIDI KALI KUINGIA BANDARINI BILA IDHINI, KWA MUJIBU WA HABARI ZISIZOTHIBITISHWA BADO.
GLOBU YA JAMII INAFUATILIA KUTHIBITISHA HABARI HII NA ITAWAPASHA UKWELI WA MAMBO BAADAYE KIDOOOOOOOGO....
Duh!!! sasa naona tunaelekea kubaya....
ReplyDeleteTaarifa nilizonazo ni kuwa askari wa majini walikuwa wakifanya mazoezi na sio mabomu.
ReplyDeleteNi mazoezi hayo!
ReplyDeleteBalozi wa naniii wewe kiboko sio mchezo unatupa vitu live poa sana . Naona mtandao wako wa habari ni mkubwa sana.Fuatilia uje utupe kilichotokea Nyumbani.Bahari zote mpya uwa napata kwako endeleza libeneke.
ReplyDeleteMungu Ibariki Tanzania
ReplyDeletekaka michuzi mbona hii habari inatisha, hebu tuhabarishe aisee wengine tuko mbali na nyumbani na tuna ndugu wafanyakazi wa bandari
ReplyDeleteKweli nyie globu ya jamii,tunashukuru kwa habari.Hiyo imekuwaje lakini?tunasubiri more news.its me paulina.
ReplyDeleteDuh bongo inataka kuwa Baghdad! M/Mungu atusalim salama.
ReplyDeletembona umeondoa picha ya yule msichana wa kazi aliyetoroka kwa muajiri wake? tuambie kama mjadala umefungwa, manake tuko wengi tunaonyanyasa wafanyakazi wa ndani.
ReplyDeleteSEMA HAKYANANI
ReplyDeleteDili ya mabomu mbona ni ya kila siku?Mabomu yaliyopasuka Mbagala tunajua mpaka siku yaliingizwa nchini na serikali inajua batch number na manufacturer.Siku Hosea akitoka usalama wa taifa hali itabadilika
ReplyDeleteaya!!mengine sasa haya
ReplyDeletenini tena jamani hii nchi??ivi nchi zilizotuzunga na vita hatujifunzi au tunaona mzaha???
ndo shida kuzungukwa na mijitu yenye misismamo ya kipepo na roho ya kumwaga damu
ayo mambo ya sattelite za wazungu,na ivi wanajua nchi za pembe ya afrika sio salama kwa sasa na mambo ya ugaidi
shindwa katika jina la Mungu muumbaji na mlinzi
whoever is behind this should be killed!!na bado tutawashika tu
ALUTA KONTINUA
duh kweli Bongo Security ZERO
ReplyDelete...heeeeee...
ReplyDeletetunasubiri balozi
WAMEKIMBIAJI?
ReplyDeleteilhali wako majini??
Hii sasa kazi kweeli kweli
ReplyDeleteOhhh huko nyumbani kunarudika kweli mbona zahama za mabomu zimetuandama siku hizi....
ReplyDeleteMbona ni muda sasa umetoa hii taarifa na bado hujatupa update? Unatutisha michuzi hapa kazi zimelala tunasubiri taarifa zaidi. Maana mabomu tena ndugu inatisha. Mbagala penyewe ilikuwa hapatoshi itakuwa huko bandarini?
ReplyDeleteNimepata taarifa kwamba ni emergency drill
ReplyDeletehii hali inatisha, nadhani inahitajika uchunguzi wa kina juu ya hili swala pia hali ya ulinzi iimarishwe hasa maeneo makuu ya kuingilia nnchini
ReplyDeleteBALAA HILO TENA JAMANI HATUTAKI BONGO YETU IWE NA MISUKOSUKO UFISADI UNATOSHA KABISA
ReplyDeleteUnajua tatizo sio hayo mabomu, tatizo viongozi/jeshi/watu wa usalama wenyewe hatuwaamini, mfano mzuri ni wakati wa mabomu ya mbagala, taarifa zilizokuwa zinatolewa zote zilikuwa mbovu, mara ilikuwa mazoezi ya wanajeshi, mara ni vibomu vidogo vilivyobaki kwa hiyo vinamaliziwa, baada ya siku 4 yakaanza tena, mara ni vibomu vilivyosahaulika, sasa kwa mtaji huu tutawaaminije? lazima tutoke nduki kuzinusuru roho zetu
ReplyDeletePlease kaka Michuzi endelea kutuhabarisha .....kasheshe!
ReplyDelete