Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2009

    LOL!, LOL!<

    Kid, you're so smart!

    Sooo! funny!, LOL!,LOL!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2009

    Eee Bwana Ndio, Nimeikubali.

    Kila Kitu na Malengo na Matayarisho, vinginevyo ...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2009

    Ili zoezi lake lisiende patupu angalianza kulipiza kisasi kwa yule wa kwanza. kumsubiri wa pili haina uhakika.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2009

    Mdauz wa tatu, anon 06.16 pm, tunashukuru kwa ushujaa wako wa kutupatia kahistoria kafupi na ka-kusikitisha ka maisha yako.

    Ila mi nakutia moyo, usikate tamaa, kwani binafsi nawafahamu watu walioolewa mpaka ndoa saba. sembuse ndoa ya pili?

    na ninakuhakikishia, umri haijalishi.

    hivyo ndugu yangu endeleza dua, mungu yupo, inshaalah atakujaliaa hiyo ndoa ya pili, si kitu kikubwa kwa Mola.

    na isitoshe, mola anakataza kisasi.

    hivyo, kuwa na mawazo chanya.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2009

    Khaa dogo wa uswadhi unatisha...!! yaani ni kama week tatu tu zimepita nilimuona mwana dada akila jalamba la namna hii, uende lengo lake lilikuwa ni hili..! duhh dongo wewe ni balaa.....!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...