Home
Unlabelled
dogo wa uswazi leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
LOL!, LOL!<
ReplyDeleteKid, you're so smart!
Sooo! funny!, LOL!,LOL!
Eee Bwana Ndio, Nimeikubali.
ReplyDeleteKila Kitu na Malengo na Matayarisho, vinginevyo ...
Ili zoezi lake lisiende patupu angalianza kulipiza kisasi kwa yule wa kwanza. kumsubiri wa pili haina uhakika.
ReplyDeleteMdauz wa tatu, anon 06.16 pm, tunashukuru kwa ushujaa wako wa kutupatia kahistoria kafupi na ka-kusikitisha ka maisha yako.
ReplyDeleteIla mi nakutia moyo, usikate tamaa, kwani binafsi nawafahamu watu walioolewa mpaka ndoa saba. sembuse ndoa ya pili?
na ninakuhakikishia, umri haijalishi.
hivyo ndugu yangu endeleza dua, mungu yupo, inshaalah atakujaliaa hiyo ndoa ya pili, si kitu kikubwa kwa Mola.
na isitoshe, mola anakataza kisasi.
hivyo, kuwa na mawazo chanya.
Khaa dogo wa uswadhi unatisha...!! yaani ni kama week tatu tu zimepita nilimuona mwana dada akila jalamba la namna hii, uende lengo lake lilikuwa ni hili..! duhh dongo wewe ni balaa.....!!
ReplyDelete