pamoja na kuwa vekesheni mdau ayoub mzee yuko bize kukusanya taswira kwa ajili ya Ben TV ya London anakofanyia kazi. hapa akimrekodi mkongwe john kitime a.k.a JFK wa njenje
waziri ally wa kilimanjaro band 'wana njenje' hataki kuamini macho yake wakati anko nanihii akimsaidia kupapasa kinanda usiku wa kuamkia leo ukumbi wa new msasani club. hapo ngoma iliyokuwa hewani ilikuwa 'jojina' ya marijani rajabu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. du! bro utani huu, unayaweza kweli au watuzuga, haya basi tuanzishe njenje academia

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2009

    Mkuu wa nanii ya nanii hio ndio T-SHIRT yetu mpya ya Globu ya jamii?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2009

    Hiyo t-shirt ya mdau wa nanihii imeknyaga white house ya amerika! Hiyo t-shirt ni (aka) au synonymous na anko nanihii....mimi nitapataje hizo t-shirt mdau?

    ReplyDelete
  4. michuzi unacheka tu hapa unajua kilichowatokea bwawa la maini huko?wajukuu wa hitler hawana utani aisee!ball possession ni 90 kwa 10,loooooo lo lo loooo lo!rpid wien 1 livepool fc 0000000000000,

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 19, 2009

    mkuu ayub Mzee misafara kama hii uwe unakwenda na shemeji yetu SUSAN MZEE.au kwa vile ana majukumu ya chama mmeshindwa kwenda pamoja.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2009

    ze fulanazzz ina rangi za kike tupu asa iyo pink

    duh...acha utani waweza papasa kweli au uzushi tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...