Home
Unlabelled
kamanda wa FFU atua tampere kwa kishindo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du inaelekea aliikimbilia hii gari baada ya kupaki tu ili apige picha nayo hata vifungo va suti alikosea kufunga kwa harakaharaka kabla limo halijaanza Na hii limo yazamani kweli kuliko ile ya bongo iliyotolewa hapa last week
ReplyDeleteKamanda amelazimishwa kuva suti,haya mambo ya suti sio yake!ila wadau wa Ufini ubavu wa kumpakia katika likarandinga wanao,Ufini oyeeeee!!!!
ReplyDeleteNO! kichaa wetu akufunga vifungo vya suti inaonyesha alikuwa yupo katika harakati harakati,lakini nilivyosikia kuwa suti kaongwa na
ReplyDeleteMama Kimwaga,viatu kanunuliwa na
Baba wa kambo.
katika mifuko ya koti la kamanda kumejaa madongo,inaonekana kwa kiasi fulani,maporomota wanavyotilia maanani poromotion.
ReplyDeleteDuh wabongo are so critic(s).Mshikaji #1 una macho makali,niliingalia hii sikutambua kama vifungo vipo sivyo.Nilidhani ni funny figure ya mshikaji kumbe ni vifungo.
ReplyDeleteduh!mdau#1 una maoni yako,yanaonekana na hisia za ukosoaji wa kukisia,hili mladi umeosha kinywa chako,try to think postive,usikurupuke bila uhakika
ReplyDeleteras makunja,wewe ni mwanamziki unayejituma na matunda ya kujituma ndio haya,Anony#1, ni wale mojawapo ya watoto wa wale mafisadi uliowatupia mawe ktk song lako la Rushwa niadui wa Haki" hivyo usimsikilize.
ReplyDeleteNgoma Africa kazeni buti