JK akipozi na majaji 10 wapya wa mahakama kuu na msajili wa mahakama ya rufaa mmoja baada ya kuwaapisha jioni hii Ikulu, Dar. Toka shoto mbele ni Wah. Hamisa Hamisi Kalombola, Fatuma Hamisi Massengi, JK, Pelaggia Barnabas Khaday na Frederica William Mgaya.
Wengine mstari wa nyuma toka shoto ni: Msajili mpya wa mahakama ya Rufaa, Francis Katabazi Mutungi, na Wah. Majaji Ferdinand Wambali, Eliamani Mbise, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi,Sekela Moshi,Moses Gunga Mzuna na ProfesaIbrahim Hamisi Juma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2009

    Maybe itasahidia kumtia hatiani japo FISADI mmoja.Badala ya danadana tunazo pigwa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2009

    HAYAHAYA WAHESHIMIWA HONGERENI,LAKINI KAFANYENI KAZI YA KWELI SIO KUVAA MAJOHO YA BURE,MAMBO YOTE YANAYOLALAMIKIWA NA WATZ YAKIFIKA KWENU YANAPOA,SERIKALI INAJITAHIDI KUWAFIKISHA KWENU LAKINI YANAPINDWA KWA KUCHOMEKA SHERIA MBALIMBALI.KWANI NYIE SIO WATANZANIA?!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2009

    Huwa mara nyingi najiuliza kwa nini siku hizi wakina mama hawapendi kuvaa magauni na ili hali wengine wanafurahia kuyavaa (wake kwa waume) yakiwa na tittle/vyeo vya nyazifa wanazopewa.
    Angalia hao wanavyofurahia magauni yao hayo.
    Ila sina uhakini kama JK anawasihi hawa kuwa tu sio kufurahia kuvaa hayo magauni tu, bali kuwatendea haki na kuwawajibikia watanzania na sio kuwahujumu kama wengi wafanyavyo.
    Jamani kuweni na roho zinazostahili maadili yenu; kufanya kazi ya uhakimu, advocate haitofautiana sana na kuwa na cheo chenye siasa ndani yake kwani maamuzi yako yanamadhara makubwa endapo yatatendwa ndivyo sivyo.
    Nawambia kwa kiapo chenu hicho siku mmoja mmoja wenu atende tofauti na haki kulingana na taaluma zenu roho za watu zitakuwa vichwani mwenu.
    MUNGU HAWAONGOZE KATIKA KAZI YENU.

    Mdau Uchina

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2009

    naona wakristu ndio wengi.

    ReplyDelete
  5. Hongera Mhesh Francis Sales Mutungi kwa jukumu hilo jipya.
    Mdau Yonga Fr. A

    ReplyDelete
  6. Mungu wangu!!!

    ReplyDelete
  7. Mh! Baba yetu Francis Hongera sana mungu akubariki

    ReplyDelete
  8. jk anasakamwa kuwa mdini wakati kila chaguzi anaweka wakristu.ama kweli wakristu wa Tanzania wana nongwa.akichagua wakuu wa wilaya ni wakristu lakini bado wanamlaumu.
    ama kweli tenda wema nenda zako.

    ReplyDelete
  9. Hongereni sana,Eliamani Mbise mungu azidi kukufunulia nakutakia kila la kheri.

    Mama Hellen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...