Wengine mstari wa nyuma toka shoto ni: Msajili mpya wa mahakama ya Rufaa, Francis Katabazi Mutungi, na Wah. Majaji Ferdinand Wambali, Eliamani Mbise, Sivangilwa Sikalalilwa Mwangesi,Sekela Moshi,Moses Gunga Mzuna na ProfesaIbrahim Hamisi Juma.
Home
Unlabelled
JK na majaji wapya wa mahakama kuu aliowaapisha leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Maybe itasahidia kumtia hatiani japo FISADI mmoja.Badala ya danadana tunazo pigwa.
ReplyDeleteHAYAHAYA WAHESHIMIWA HONGERENI,LAKINI KAFANYENI KAZI YA KWELI SIO KUVAA MAJOHO YA BURE,MAMBO YOTE YANAYOLALAMIKIWA NA WATZ YAKIFIKA KWENU YANAPOA,SERIKALI INAJITAHIDI KUWAFIKISHA KWENU LAKINI YANAPINDWA KWA KUCHOMEKA SHERIA MBALIMBALI.KWANI NYIE SIO WATANZANIA?!!!!
ReplyDeleteHuwa mara nyingi najiuliza kwa nini siku hizi wakina mama hawapendi kuvaa magauni na ili hali wengine wanafurahia kuyavaa (wake kwa waume) yakiwa na tittle/vyeo vya nyazifa wanazopewa.
ReplyDeleteAngalia hao wanavyofurahia magauni yao hayo.
Ila sina uhakini kama JK anawasihi hawa kuwa tu sio kufurahia kuvaa hayo magauni tu, bali kuwatendea haki na kuwawajibikia watanzania na sio kuwahujumu kama wengi wafanyavyo.
Jamani kuweni na roho zinazostahili maadili yenu; kufanya kazi ya uhakimu, advocate haitofautiana sana na kuwa na cheo chenye siasa ndani yake kwani maamuzi yako yanamadhara makubwa endapo yatatendwa ndivyo sivyo.
Nawambia kwa kiapo chenu hicho siku mmoja mmoja wenu atende tofauti na haki kulingana na taaluma zenu roho za watu zitakuwa vichwani mwenu.
MUNGU HAWAONGOZE KATIKA KAZI YENU.
Mdau Uchina
naona wakristu ndio wengi.
ReplyDeleteHongera Mhesh Francis Sales Mutungi kwa jukumu hilo jipya.
ReplyDeleteMdau Yonga Fr. A
Mungu wangu!!!
ReplyDeleteMh! Baba yetu Francis Hongera sana mungu akubariki
ReplyDeletejk anasakamwa kuwa mdini wakati kila chaguzi anaweka wakristu.ama kweli wakristu wa Tanzania wana nongwa.akichagua wakuu wa wilaya ni wakristu lakini bado wanamlaumu.
ReplyDeleteama kweli tenda wema nenda zako.
Hongereni sana,Eliamani Mbise mungu azidi kukufunulia nakutakia kila la kheri.
ReplyDeleteMama Hellen