kamanda wa mkoa maalumu wa kipolisi wa dar afande suleiman kova akiongelea zoezi la uopoaji na uhifadhi wa marehemu waliokufa katika ajali ya ndege ya yemen huko comoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2009

    Kova pata data kamili, mtoto ana miaka 13 na siyo 11. We mtu mzima bwana!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2009

    no hurry in Africa jamani!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2009

    ...ni harakati za kitaifa au kimatifa kamanda Kova?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2009

    wale maiti, na wala siyo "zile maiti" kamanda wa polisi wa mkoa/taifa unatakiwa uzungumze kiswahili fasaha kinachoeleweka.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 10, 2009

    Kazi kweli kweli, duh!. Mambo haya ya communication yanataka training, si kila mtu anaweza kufikisha ujumbe ifuatavyo. Hivi kile cheo cha msemaji wa jeshi kilifutwa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2009

    Inasikitisha anavongea kwa kwa ukakamavu hata hataki kuonesha majonzi kidogo!yeye msiniulize kawaulizeni huko kweli safari ni ndefu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...