Nani kasema Ras Makunja kamanda wa Ngoma Africa band aka FFU kachacha? Hapa mzee mzima ndio katua Tampere,Finland. Washambuliaji wake FFU huwa wanatangulia na yeye akiwa supa staa huwasili kivyake. Hapa yuko tayari kutumbuiza katika onyesho la Fest Africa! picha na mdau Edo Ndaki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2009

    Du inaelekea aliikimbilia hii gari baada ya kupaki tu ili apige picha nayo hata vifungo va suti alikosea kufunga kwa harakaharaka kabla limo halijaanza Na hii limo yazamani kweli kuliko ile ya bongo iliyotolewa hapa last week

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2009

    Kamanda amelazimishwa kuva suti,haya mambo ya suti sio yake!ila wadau wa Ufini ubavu wa kumpakia katika likarandinga wanao,Ufini oyeeeee!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 19, 2009

    NO! kichaa wetu akufunga vifungo vya suti inaonyesha alikuwa yupo katika harakati harakati,lakini nilivyosikia kuwa suti kaongwa na
    Mama Kimwaga,viatu kanunuliwa na
    Baba wa kambo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 19, 2009

    katika mifuko ya koti la kamanda kumejaa madongo,inaonekana kwa kiasi fulani,maporomota wanavyotilia maanani poromotion.

    ReplyDelete
  5. Duh wabongo are so critic(s).Mshikaji #1 una macho makali,niliingalia hii sikutambua kama vifungo vipo sivyo.Nilidhani ni funny figure ya mshikaji kumbe ni vifungo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2009

    duh!mdau#1 una maoni yako,yanaonekana na hisia za ukosoaji wa kukisia,hili mladi umeosha kinywa chako,try to think postive,usikurupuke bila uhakika

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 20, 2009

    ras makunja,wewe ni mwanamziki unayejituma na matunda ya kujituma ndio haya,Anony#1, ni wale mojawapo ya watoto wa wale mafisadi uliowatupia mawe ktk song lako la Rushwa niadui wa Haki" hivyo usimsikilize.
    Ngoma Africa kazeni buti

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...