wadau wa EATV wakiwa katika kamnuso ka kumuaga mtangazaji Kaka Kitenge ukumbi wa Mzalendo pub wikiendi hii. kaiambia globu ya jamii kwamba baada ya kula mzigo kwa muongo mmoja ameamua kuangalia ustaarabu mwingine. hakuweka bayana. Dah! Josh ana haraka huyo...cheki anavyotia dole keki
Kitenge akilishwa keki ya kwaheri yake
naye aliwalisha wadau
Josh kagoma kulishwa keki, anawekewa glasini
ze fulanazzzz ndani ya hauzzzzz
Kitenge na wadau wakiyarudi mangoma katika kamnuso hako
DJ Bonny Luv, ambaye kila Jumamosi siku hizi yupo Mzalendo pub akiporomosha ma Old Skul kama hana akili nzuri. hapa alikuwa anakupa 'maiko jekson njoo, sitaaaaaki kama hutaki nenda..'







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2009

    Wow Umm...I really like this song..Njoo...kama hautaki kwenda wenzio wale vyao kwa kujipimia na kwa raha zao...Dump damn babe gal dude....!!!.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 12, 2009

    Dah,huyu mshkaji anaondoka,dah!Huwa nilikua sikosi kuangalia kile kipindi chake cha oldies kila jumamosi usiku.

    Mkulima-Kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  3. Nauliza swali ? hivi ni kwa nini wanaume wa bongo hawajui kuvaa??? hebu angalia hao jamaa walivyovaa .. na hapo ni kwenye party.. Tena ni TV stars.. unajua wakati mwingine nikija Bongo huwa najiona kama vile .. mshamba nikienda DISCO.. maana najiona ni mimi peke yangu nimependeza .. kila ninayemuona ukumbini.. kavaa the fulanazzz , (michuzi) mwingine fulana imeandikwa Mei mosi , Tigo , jihaadhari na ukimwi mwangalie chini basi kaptura na makubazi .. wenyewe wanaita yeboyebo,,akijitahidi sana raba mtoni.. Naomba club za disco zile classic ziwe na DRESSING CODE angalau tuweze kuvaa pamba zetu nzuri tunapokuja huko wakati wa likizo .. kwani huku "The box is too much " tupo rough full time . hatuna muda wa kuvaa vizuri,,

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2009

    KITENGE ALISHANENEPA HIVYO NA KUWA MZEE KIASI HICHO, DO BONGO! NILIPENDA KIPINDI CHAKE CHA NYIMBO ZA ZAMANI HASA ZA U.S.A ALIKUWA ANANIKOSHA, HASA ZA AKINA MJ NA LIONEL RICHIE

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2009

    ...anatia dole...???...mh


    wee mbeba box,kaa ukouko uvae izo "pamba" zako za disko,usituletee apa bongo eti dressing code

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2009

    Jamani, huyu kaka anaondoka kile kipindi cha old is gold kitakuwaje sasa!mh mashaka haya, nilikuwa sikosi jinsi jamaa alivyokuwa makini nacho!

    ReplyDelete
  7. POT! izo ni mbwembwe tu, hawajui kuvaa vipi? kwani wewe mtu akipendeza anakuaje? Kitenge anaendesha kipindi cha nyimbo za zamani so wadau wameamua kulipuka kizamani, ukichukulia uchumi hauleti neema kivile sio jambo la kuseema saana , eti nikienda club wewe ndo umependeza...mafankurooo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2009

    Nilikuwa sikosi sport leo ya radio 1 kila kitenge akiwa mitamboni, ndoa langu na madeni ya maharage walikuwa wanamuogopa vibaya mno pamoja na michael wambura

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 14, 2009

    KAKA MICHUZI MI SIKUJUA KUWA DJ BONNY LOVE KAMA SIKU HIZI JUMAMOSI YUKO MZALENDO PUB MAANA UKWELI NI KWAMBA TULIKUWA NA UHABA WA BURUDANI YA UKWELI TANGIA KIPINDI CHA LATAVENA NA BLUE PALM KWANI BAADA YA KUFUNGWA KWA HIZO SEHEMU HAKUKUWA NA SEHEMU YA KWENDA SISI WAPENZI WAKE,NADHANI HUU NDO MUDA MUAFAKA WA KURUDISHA ENZI ZILEEEEEEEEEEEE SI WADAU WANAKUMBUKA LAKINI KIPINDI CHA POOL SIDE,LA DORCE VITA TWIGA NA 7TH FLOOR PALE NEW AFRICA KIFUPI NI KWAMBA MIMI BINAFSI NAUNGANA NAE KATIKA KILA JMOSI

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 15, 2009

    ivi akina dada mboni mnapenda kutesa na kujalibu wezenu??

    kwanini mnapenda kuachia VIFUA ivo jamen?
    ata balozi alipigwa mkwara na rita kwa maswala ayo

    mh

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 16, 2009

    hivi kaka Michuzi samahani lakini hivi hiyo flana unayo moja tu hiyo hiyo au unazo nyingi sana za aina moja au ndio uniform yako maana kila nikuonapo na hiyo fulana huwa najiuliza sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...