mchungaji katika kanisa la mtakatifu petro akitoa nasaha za ndoa kuhusiana na mawifi na matatizo yatokanayo na simu za mkononi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2009

    wape wape father...ma-wifi nuksi!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2009

    sio mawifi tu hata mashemeji wa pande zote mbili ni nuksi pia hawakawii kuvunja ndoa.Father kalonga kweli kwenye simu hili ni tatizo kubwa kwenye nyumba nyingi inabidi tuwe wastaarabu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2009

    Sasa Mbona Father Katoa Ushauri juu ya Simu kwa wanaume tu?? Hajui kwambwa wanaoanglaia SImu za wenza wao ni wanawake at the MOST!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2009

    Yes, Fr. Jovin a.k.a Mchungaji> Tuanaona upewe kipindi hapo Msimbazi cha semina ya Ndoa, na wakati wa Ibada ya Misa pengine ni muda mfupi kukusikiliza na kuelewa hujumbe wako na nasaha zako. Pia siku ya Harusi, wachache wa wanwezxa kukusikiliza , Maana kama Unavyojua wanaofunga Ndoa ni wengine na wewe ni "shahidi tu wa Sakaramenti hiyo"
    Kila la heri unapooanza safiri ya kufanya kazi hapo Msimbazi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...