Home
Unlabelled
mizinga kila kukicha barabara ya sam nujoma road
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watengeneze round about hapo.Hapo pawe na mzunguko angalau kila dereva anakua anamwangalia mwenzake anaelekea wapi? kukiwa na reound
ReplyDeleteKaka Michuzi ,naomba wadau wawe wanakuwa na haki ya kutoa maoni. Nakumbuka kwenye blog yako kuna mtu alituma picha ati barbara ya Sam Nujoma inaanza kubomoka kabla ya kufunguliwa. Huyo ni mtu asiye tazama mbali. Dunia yote imegeukia China kama Hutaki unaachwa. Barabara ya Kilwa mabonde kibao lakini hakuna mtu aliyesema chochote, sababu wajapani??? Juzi barbara ya Sam Nujoma jamaa walikuwa wanabadilisha taa , zile ndefuuuuu sana, cha kushangaza kazi hiyo ilikuwa inafanywa na mtu mmoja tena hakuwa na ngazi wala nini, kamashine tu nyuma ya zile nguzo zinashusha zile taa , kiasi cha hata mtoto wa miaka 5 anagusa balbu. Jamani hii si inastahili tusifie
ReplyDeleteBro Michuzi unanafasi kwa wakubwa jaribu kuhakikisha haya unayotuonesha japo wanayafanyia kazi,ikiwemo kuweka sheria kali kwa hao wanaowagonga waendesha pikipiki na waenda kwa miguu ni roho hizo jamani.Nahii barabara ya Sam Nujoma road ndio nini?barabara ya Sam Nujuma.
ReplyDeleteKaka Michuzi rekebisha hapo kidogo Barabara ya Sam Nujoma Road.KAMA MTU AKITUMIA BARABARA ASIWEKE NENO ROAD.Isomeke Mizinga kila kukicha Barabara ya Sam Nujoma.
ReplyDelete- yaani kuna wadau wana vichwa vigumu!..hii 'chambilecho michuzi' (michuzi-speak) ya maneno kama: "chuo kikuu cha xx university, my waifu wake, barabara ya xx road" bado hawajaizoea tuu?..ama wana 'aleji' ya kukosoa?..typically wabongo!!.
ReplyDelete...round about...
ReplyDeleteWeka matuta baada ya mita 20 please!
ReplyDelete