muonekano wa kiplefti mpya iliyoanza kumea katikati ya barabara ya mtaa azikiwe street jijini dar kuanzia jumatatu ambapo misumeno ya lami, sululu na nyundo zilitembea ili kuweka mambo sawa. redio mbao zinasema hii mchakato ni operesheni ya kutengeneza bomba la maji machafu lililoharibika ila kwa vile bongo ni tambarare kazi hii itapokwisha kiplefti itaendelea kuwepo hadi mwakani. foleni ya magari inayojiri katika kiplefti hii iliyo katika moja ya barabara bize sana jijini si ya mchezo. globu ya jamii itawaletea maendeleo mara kwa mara



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2009

    kaka majina ya mitaa yamekupitia kiplefti nini? huu sio Azikiwe/ Maktaba?

    ReplyDelete
  2. Anonymous unayeuliz kipleft ni nini ni ngumu sana kukueleza kama huwa hufuatilii stori zetu hapa, wacha tuneoelewa tuendelee na libeneke.

    anko nannhii hiyo kipleft ipo chini ya nani? Nasikia ile karibu na BOT ulialikwa kuizindua ilipokamilika, anko bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...