Home
Unlabelled
mama salma kikwete atembelea hospitali ya mkoa tabora
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Suali; Hivi ni katika sheria gani ambapo mke wa rais ambae hapo awali mumewe alipokuwa sio rais hakuwa mwanasiasa inakuwaje mumewe anpokuwa rais anaanza kuwa mwanaharakati wa kisiasa na kuwa mtowaji wa hutuba tele pamoja na kuwa very active katika mambo ya serikali takriban kupita hata mawaziri walioteuliwa na rais au wabuge walioteuliwa na wananchi?
ReplyDeletejamani sijui ni macho yangu au ila naona bongo watu wanazaa wakiwa watu wazima sana kwa nini?hili pia nafikiri linachangia vifo,tusizae tukiwa wadogo wala wazee kina mama pliz
ReplyDeleteAnon 11:01:00
ReplyDeleteVery very good question.
Tusubiri majibu.
mtoa maoni wa kwanza nimependa swali lako. ila kwa kukusaidia tu ni kwamba Ikulu kutamu sana, na uchaguzi ambao utaamua kama ataendelea kukalia jumba ndo huooo unakuja. ili kuhakikisha kua anaendelea kufaidi ikulu na kutopoteza lile jina la festi ledi mapema, ndo hivyo inabidi nae aanze kampeni za kumbakisha mapema. kwani we hujastuka tu kuwa hakuwa akifanya hivi tangu awali?? amefanya hivi ukiwa umebaki mwaka mmoja!!!
ReplyDeletenadhani umenipatapata. tatizo ni kwamba jibu langu kwako unaweza hata usilione kutokana na jinsi michuzi alivyo.
ahsante
done with purpose!!! who does anything if no profit or gain is anticipated?? believe me she does that with purpose!! a longterm one!! lake zone kwa wasukuma na wakurya has recently been a tuff nut to crack by CCM so more efforts and campaigning staff are needed to well in advance prepare for the that thing next year.
ReplyDeleteyou just win their hearts and you win votes in return
jamani mbona hii inatisha sasa! maana nikimtizama huyo mzazi anaye juliwa hali namuona ni mtu mzima,nikimaanisha kwahara tu inaonekana anamiaka zaidi ya 36. sasa si huku ni kujisababishia hatari tu ya matatizo ya uzazi jamani ya ikiwemo kuoneza nafasi ya kuzaa watoto wenye matatizo kisha tunamlaumu muumba na wakati mwingine kuanza kuwalaumu wahudumu wa afya eti wamechangia ktk yaliyo tokea?
ReplyDeleteumefika wakati elimu isambazwe ktk jamii tangu shule za misingi watu wajue mipaka fulani fulani ktk maisha,kwamba baadhi ya vitu lazima ukubali tu kuachia ngazi inapofikia umri fulani.watu walikuwa wana msakama kingunge eti hataki kung'atuka,lakini kumbe hata ktk jamii yetu hakuna anayetaka kung'atuka,tofauti tu inakuja kwamba ni kung'atuka ktk lipi!!heh!heh!heh
mi kila siku huwa najiuliza kipi bora atume hivyo vifaa anavyodai anatoa msaada au aende yeye mwenyewe na msululu wa watu ambao ni gharama kubwa kuuhudumia pengine kuliko hivyo vifaa vyenyewe? pili kwa mke wa raisi kwenda kutoa hicho kinachoitwa misaada, je anasaidia kuziba mapungufu ya serikali yetu katika kuhudumia watu wake au serikali inaanda mapungufu ili kumsaidia ajipatie umaarufu? mwisho napenda kusema kuwa tunalipa kodi zetu ili serikali iboreshe mahospitali yetu, siyo kugharimia watalii wa ndani kwa kisingizio cha kutoa misaada kama huamini omba mchanganuo wa gharama za safari zao halafu ulinganishe na vyandarua wanavyotoa
ReplyDeleteAnon wa 04.11 ushauri wako unaweza kuwa wenye manufaa kwa kundi fulani (watu ambao walishaanza kupata watoto na wanaendelea pamoja na kuwa wanao wengi). Lakini umeutoa ushauri huo kama jumuisho la kina mama wote bila kujali amepitia mapito gani hadi kubahatika kupata huyo mtoto. Ni vema ukakumbuka tu kuwa watu wengine huwa wanachukua muda sana sana hadi wabahatike kupata mtoto. Mshukuru Mungu kama wewe ulibahatika mapema na kuwaombea usalama wale waliopitia mapito hadi kubahatika kupata mtoto.
ReplyDeleteanon wa july24 saa o1:33 ninakubaliana nusunusu na kile unacho kisema,unajua mambo mengine lazima tukubali fact hata kama zinakuwa chungu kuzipoke,mathalani unapo mwambia lets say mtu ameathirika na ugonjwa fulani ambao hauna tiba, ni fact ambayo siyo nzuri kabisa kuisikia lakini inabakia kuwa fact.
ReplyDeletekuhusu unavyodai ni kweli kuna wengine unakuta pengine kwa sababu moja au nyengine hakuweza kupata mtoto ktk umri unaostahili. kundi hili wanashauriwa kuwa karibu sana na huduma ya afya tena ya hali ya juu itakayo monitor hatua kwa hatua hadi mtoto anayezaliwa awe salama na mzazi pia awe salama. lakini kama tutafanya mambo kwa kufumba macho na kwenda kwa bahati na sibu, ndipo unajikuta umesababisha matatizo makubwa ama kwa mtoto, ama kwako mzazi kisha unaanza kuwalaumu wengine au muumbaji. mathalani tuseme umezaa ukiwa na umri wa miaka 37 na chance ya wewe kuzaa mtoto mwenye mtindio wa ubongo ni 1/1000.kisha ikawa ndo imekuangukia wewe,na madhara mengine kama kushindwa kufunguka njia ya uzazi kwa wakati hadi kupasuka kwa mji wa mimba n.k mungu pishilia mbali, hasa kama utakuwa hauko karibu na huduma nzuri ya afya.
nakubaliana na wewe kwa condition moja tu kwamba waliopitia hayo unayo yaita mapito lazima pia watambue kwamba wamepewa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya hao wanaopanga kuwaleta duniani. sio amezaa mtoto akijuwa anarisk ya kuhatarisha maisha yake na kumwacha yatima.kwa mfano mtu anayejua ameathirika na HIV anajua kabisa anaweza kuishi muda mrefu na pia anaweza akapata mtoto asiye na virusi, lakini je anamtakia nini mtoto huyo?si bora tu akubaliane na hali yake na aishi tu kwa furaha?kwani ni lazima kuzaa ndipo uwe mwenyefuraha? unaweza ku adopt watoto wasio na wazazi na wakawa watoto wazuri tu kwako!na unaweza kuzaa na usifurahie hao watoto ulio zaa. hapa ni jinsi tu ya kufikiri, mara nyingi tunafuata mikumbo badala ya kuzingatia fact ndiyo maana hatuendelei. kwa maana unataka ufanye alivyofanya bibi yako au babu yako wa kale na kale. we have to change!!!!!
umri sahihi wa kuzaa kitaalam ni miaka 21-23 mtoto wa kwanza, miaka 25-27mtoto wa pili, full stop!! kuanzia miaka 30-35 risk group. zaidi ya 35 utajaza mwenyewe hilo ni kundi gani. period!! hakuna anaye mcheka mtu hapa.hiyo ni data zimeprove hivyo na sababu zinazofanya kuwa hivyo zipowazi kitaalam. sasa kama zime kuangukia sio kosa lako wala la mtu mwingine. ni kukubali tu kuwa dunia ndivyo ilivyo na wewe si mwenye bahati. maana hata ndugu huzaliwa mwingine anakuwa genius mwingine anakuwa kinabo kwelikweli!!au mmoja tajiri mwingine fukara.mmoja mgonjwa mwingine mzima, mmoja mlemavu mwingine si mlemavu. hayo ndiyo maisha, dunia haiko fair. sasa isikufanye na wewe kumfanya mwanao asiwe na furaha kwa kuwa wewe unataka tu utimize malengo yako tu ya kuzaa!!!
ReplyDeletewanao gombana na umri wengi wao ni wale ambao unakuta muda mwingi wameutumia ktk mihanjo ya life ikiwemo kusoma, kisha wakiwapata wachumba wa kuwaoa wanawakataa wakijiona kuku sana na wamewazidi elimu,wakiwapatawaliosoma mara wavunge wanataka warefu hawataki wafupi,wakiwapata warefu ooh nataka mweupe sitaki black masizi, wakiwapata weupe mara ooh huyu japo kasoma lakini siyo tajiri nataka ambaye mambo safi. mwishowe wanakuta age inapiga indicator wanaanza blah blah blah! too selective be ready to rock n roll!
ReplyDeletenilicho notice hapa ni neti ya mbu mpyaa. bila shaka neti hiyo ilifungwa muda mfupi kabla ya first lady kutembelea hapo. wabongo tuna sifa za kuficha matatizo badala ya kuya expose ili tupate wafadhili wa kuboresha huduma..sijui au labda ni hisia yangu..
ReplyDeleteSijui tumpe Mama naye 2010 au 2015? Maana naona mimi nimekubali kuwa anafaa.. Plus naona jamii yetu tuongeze kuwapa uongozi kina mama maana ma-men nusu kazi, nusu ugoni. Yaani uongozi wetu umejaa mafisadi wa ngono na kazi wanafanya kama by the way tu ya kupatia totoz. Kina mama oyeeee!!
ReplyDeleteMr. Mdau, Boston, US