Wasanii wa Shinyanga wakicheza ngoma ya Kisukuma ya Bagika katika maadhimisho
ya siku ya Idadi ya Watu Duniani yaliyofanyika Mjini Shinyaga Jumamosi. Mgeni
rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2009

    onene nalengaru mbona kanyoka kenu kadogo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2009

    vipi kuhusu siku ya idadi ya nyoka?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...