Sanaa ya mziki wa kizazi kipya kanda ya nyanda za juu kusini yawasha endiketa baada ya kuibuka watayarishaji wa mziki na video wanaotoa kazi zenye ubora wa hari ya juu.

watayarishaji hao wanapatikana pandeza NJOMBE wilaya iliopo mkoani IRINGA na baadhi ya wasanii ambaotayari wamefanya kazi katika studio hii inayoitwa SOUND POWER chini yaproducer B jayz ni TUNDA MAN wimbo rudi nyumbani (remix),DK KUPENEKA wimbo unaoitwa wanipa vitamu ambao bado hajauachia, namaunderground wanaokuja juu katika vituo mbalimbali vya redio 2N,Y D.DOX,YB, ambao pia wamefanya video chini ya studio ya MJS chini ya mkuongozaji MAJID MSIGWA.

pichani kutoka kushoto ni masanii SIR ONE wakundi la WISE CREW ambaye naye anawakilisha nyanda za juu kusini producer B jayz namuongozaji wa video MAJID MSIGWA wakiwa pande za NJOMBE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2009

    mzee nanhii, saa yako imefulia,inatufanya tuendelee kuperuz wakati muda umekwisha,
    unashangaa? badilisha. ila uko juu sana kaka.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2009

    Uwiiiiiiiiii ndifwa nene mwalive segito.Kha! wamerusa kwa michuzi hadi inyumbani kwetu heeee hapo sayanzi na teke linalotujia.Tuhongise sana yaniiiiiiiiiii.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2009

    e bwana kweli music utawaka hio wilaya mi naijua majank wengi sana wapo juu kimuziki walikua wanashindwa tu kurekod kwa majani kama hao vijana wakiendelea kusaidiwa music pale utakua juu sana cos mlikua juu long time but kulikua hakuna mtu wa kuwatoa
    big up guys msikate tamaa wala kudhoofishwa na mtu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...