
watayarishaji hao wanapatikana pandeza NJOMBE wilaya iliopo mkoani IRINGA na baadhi ya wasanii ambaotayari wamefanya kazi katika studio hii inayoitwa SOUND POWER chini yaproducer B jayz ni TUNDA MAN wimbo rudi nyumbani (remix),DK KUPENEKA wimbo unaoitwa wanipa vitamu ambao bado hajauachia, namaunderground wanaokuja juu katika vituo mbalimbali vya redio 2N,Y D.DOX,YB, ambao pia wamefanya video chini ya studio ya MJS chini ya mkuongozaji MAJID MSIGWA.
pichani kutoka kushoto ni masanii SIR ONE wakundi la WISE CREW ambaye naye anawakilisha nyanda za juu kusini producer B jayz namuongozaji wa video MAJID MSIGWA wakiwa pande za NJOMBE.
mzee nanhii, saa yako imefulia,inatufanya tuendelee kuperuz wakati muda umekwisha,
ReplyDeleteunashangaa? badilisha. ila uko juu sana kaka.
Uwiiiiiiiiii ndifwa nene mwalive segito.Kha! wamerusa kwa michuzi hadi inyumbani kwetu heeee hapo sayanzi na teke linalotujia.Tuhongise sana yaniiiiiiiiiii.
ReplyDeletee bwana kweli music utawaka hio wilaya mi naijua majank wengi sana wapo juu kimuziki walikua wanashindwa tu kurekod kwa majani kama hao vijana wakiendelea kusaidiwa music pale utakua juu sana cos mlikua juu long time but kulikua hakuna mtu wa kuwatoa
ReplyDeletebig up guys msikate tamaa wala kudhoofishwa na mtu