mdau alinusurika akiwa na michubuko ya kiushkaji baada ya kugongwa barabara ya sam nujoma road jijini dar ambayo toka ifunguliwe njia mbili zake zimekuwa na mizinga ya mara kwa mara kutokana na sababu mbali mbali kubwa ikiwa jinsi palivyo tambarare kwa hiyo mguu mguu tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2009

    Watengeneze round about hapo.Hapo pawe na mzunguko angalau kila dereva anakua anamwangalia mwenzake anaelekea wapi? kukiwa na reound

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2009

    Kaka Michuzi ,naomba wadau wawe wanakuwa na haki ya kutoa maoni. Nakumbuka kwenye blog yako kuna mtu alituma picha ati barbara ya Sam Nujoma inaanza kubomoka kabla ya kufunguliwa. Huyo ni mtu asiye tazama mbali. Dunia yote imegeukia China kama Hutaki unaachwa. Barabara ya Kilwa mabonde kibao lakini hakuna mtu aliyesema chochote, sababu wajapani??? Juzi barbara ya Sam Nujoma jamaa walikuwa wanabadilisha taa , zile ndefuuuuu sana, cha kushangaza kazi hiyo ilikuwa inafanywa na mtu mmoja tena hakuwa na ngazi wala nini, kamashine tu nyuma ya zile nguzo zinashusha zile taa , kiasi cha hata mtoto wa miaka 5 anagusa balbu. Jamani hii si inastahili tusifie

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2009

    Bro Michuzi unanafasi kwa wakubwa jaribu kuhakikisha haya unayotuonesha japo wanayafanyia kazi,ikiwemo kuweka sheria kali kwa hao wanaowagonga waendesha pikipiki na waenda kwa miguu ni roho hizo jamani.Nahii barabara ya Sam Nujoma road ndio nini?barabara ya Sam Nujuma.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 13, 2009

    Kaka Michuzi rekebisha hapo kidogo Barabara ya Sam Nujoma Road.KAMA MTU AKITUMIA BARABARA ASIWEKE NENO ROAD.Isomeke Mizinga kila kukicha Barabara ya Sam Nujoma.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2009

    - yaani kuna wadau wana vichwa vigumu!..hii 'chambilecho michuzi' (michuzi-speak) ya maneno kama: "chuo kikuu cha xx university, my waifu wake, barabara ya xx road" bado hawajaizoea tuu?..ama wana 'aleji' ya kukosoa?..typically wabongo!!.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2009

    ...round about...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 13, 2009

    Weka matuta baada ya mita 20 please!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...