kama noma na iwe noma. wadau wakisagula viatu kwa ajili ya mai waifu zao maeneo ya ubungo tanesco jijini dar, kuonesha kwamba kila kukicha iko haja ya kumpenda mkeo kwa kazawadi....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2009

    imatulia sana hii...

    our simple life out there

    and we do survive

    great

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2009

    Mdau, ubungo Tanesco? Hapo Karume mtaa wa uhuru. Hata hivyo popote, mpende mkeo huihitaji hela nyingi sana kuonyesha upendo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2009

    Asilimia 99 ya wanaume wa bongo hawajui hata size ya viatu vya wake zao, atakuletea hapo kakiatu size 3 wakati wewe size 6 uuwe mtu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2009

    Du hii mbona hata huku Ughaibuni inafanyika sana, mzungu anapaki gari yake ya hata dala 60,000 na anachagau used shoes and clothes na hata chupi. Maisha ni noma zako mwenyewe, chupi hapana lakini kama umezidiwa ufanyeje? Maskini wengine jeuri hawavai mitumba mishahara yao inaishia madukani wanashindwa kusave. Katika halikama hii ya recession mitumba ndio inalipa. Malls zinafilisika na zingine zinafungwa, Bongo mpo ahead of the game.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...