Home
Unlabelled
mpende mkeo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
imatulia sana hii...
ReplyDeleteour simple life out there
and we do survive
great
Mdau, ubungo Tanesco? Hapo Karume mtaa wa uhuru. Hata hivyo popote, mpende mkeo huihitaji hela nyingi sana kuonyesha upendo
ReplyDeleteAsilimia 99 ya wanaume wa bongo hawajui hata size ya viatu vya wake zao, atakuletea hapo kakiatu size 3 wakati wewe size 6 uuwe mtu.
ReplyDeleteDu hii mbona hata huku Ughaibuni inafanyika sana, mzungu anapaki gari yake ya hata dala 60,000 na anachagau used shoes and clothes na hata chupi. Maisha ni noma zako mwenyewe, chupi hapana lakini kama umezidiwa ufanyeje? Maskini wengine jeuri hawavai mitumba mishahara yao inaishia madukani wanashindwa kusave. Katika halikama hii ya recession mitumba ndio inalipa. Malls zinafilisika na zingine zinafungwa, Bongo mpo ahead of the game.
ReplyDelete