msanii wa vichekesho saidi small akiwa na mdau mkuu wa msondo ngoma, omari niachiemimi, na mpenzi mwingine wa bendi hiyo wakiyarudi magoma motomoto ya wana msondo ngoma ambao kila jioni wamekuwa wakitumbuiza bure kwenye maonesho ya sabasaba katika bar ya kizota chini ya udhamini wa kilaji cha safari lager. toka wapate vyombo vipya msondo imekuja juu ile mbaya kwa jinsi muziki wao ulivyozidi kuwa mtamu

small na majuto ndio king wa comedy hapa bongo to be honest sio the comedy mpaka wavae kama wanawake,small anaweza kuiga uanawake kwa maneno tu ukacheka mpaka uzimie.to be honest the comedy wanaboa fulani hivi.msiniue jamani wanaglobu hayo ni maoni tu.
ReplyDeletedAH ASIKWAMBIA MTU MSONDO KIBOKO, HATA SHEIKH MICHUZI ANAJUA HIVO. WATU TUNASEREBUKA MPAKA MAJASHO YA MENO YANABUBUJIKA. KAMA HUAMINI WAULIZE WATU HAWA
ReplyDelete1. MASOUD NASSOR MZEE WA MAGOROFANI, PEMBAAAAAAAAA.
2. PETER SUMAI MZEE WA UPIMAJI.
3. DR. MBONDEEE.
4.mBUNDA MASAKA.
5. OMARI NIACHIE MIMI.
6. SUPU YA MAMBA.
7. OBISH MAKONO - MZEE WA PAMBA KALI.
8. UNCLE SALEH WA MAKUNDUCI MAMBO WAAA.
9. ISIAKA KIBENE NA DUBAI.
10. ALLYII MWANA ZANZIBAR, MZEE WA MJI MKONGWE.
Msondo ni baba ya mziki piga ua!
ReplyDeletemsondo ndie bendi kongwe barani afrika !Kubali au kataa.