

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo Subaru Bluu ni ya "Wadosi" fulani ambao wana vurugu sana mitaa ya Posta..
ReplyDeleteWakisha kolea "Majani" wao ni speed 120.. shaaah !!! wakifukuzana na wadosi wenzao,
basi hapo "walavumbi" inatubidi tupishe njia mbaaali kabisa tusije vunjwa viusafiri vyetu tulivyozaliwa navyo "miguu",
huku tukiziba masikio dhidi ya sauti nzito ya makelele ya hilo gari lao ambapo wakipita hamsikilizani.
Sijui ni "kulewa" mapesa ya ufisadi au vp!!!
aah! "walala hoi" yetu macho tu.
Hao jamaa wanao husika taa za barabarani wasilale wajitahidi warudishie hizo taa haraka iwezekanavyo maana hapo mahali bila taa ni hatari ya denger.
ReplyDeleteWee acha tuu, maji ya mende yana raha zake bwana au sio wadau?
ReplyDeleteHizi towing trucker za bongo ni za karne ya nuhu lol
ReplyDeleteHizo towing trucks ni kampuni ya inspector so and so...huwezi kuweka kampuni yako ndani ya hii business....ni ngumu sana!! Au nimekosea?
ReplyDeleteHivi Breakdown ina maana gani?
ReplyDeletepombe,
ReplyDeletekutosimama kwenye taa nyekundu
spidi
kuna jingine??
Breakdown ni "kuharibika" kwa mfumo wa kitu fulani....mfano, car breakdown ni kuharibika kwa mfumo wa gari, iwe tairi la gari au engen.
ReplyDeleteIla, naona hili neno linatumika interchangably na towing truckers kimakosa, kwa anayeongea lugha ya kiswahili na mswahili mwenzie wanaweza wakaelewana, ila ukiongea na mtu asiyejua kiswahili, ukalitamka wakati unaongea lugha ya kiingereza kamwe hutaeleweka
Ndugu Karl hapo juu...
ReplyDeleteHuyo Michuzi aliyetumia neno "break down" nae ni mchovu wa lugha. Wabongo wana viingereza-swahili vyao wanaelewana wenyewe.
Mtu akienda kufanya admission test kuingia kidato cha kwanza atakwambia anaenda kwenye "interview," utafikiri anatafuta kazi vile...