msanii moto wa kizazi kipya RAY C aibuka upya
Home
Unlabelled
ray C aibuka upya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
msanii moto wa kizazi kipya RAY C aibuka upya
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
too much animation,i think this one isnt one of her best perfomances
ReplyDeleteHongera sana Rehema,
ReplyDeletenaona unakuja kuwa Rihanna wa Tanzania sasa hiyo ndo mitindo,,ila uangalie sana naona kifua chako kimenza kuwa kinene hovyo...usikubali kunenepa kifua.
Mh Balozi na Mkuu wa wilaya ya nanihii,
ReplyDeleteNimeona fiancee wako ametoa kitu bomba sana, nina mtakia kila la heri na mafanikio tele.
what? kuna watu wanajua kutukana? Rihana kufananishwa na RAY C? Hayo ni matuzi makubwa kwa RAY C kwani level aliyopo yeye si sawa na na ya Rihana. sasa anapotekea mtu kama huyu mdau wa kwanza na kumdanganya kwa kumfananisha na Rihana ni kama kumfanya vile ni mtoto mdogo anapodanganywa na mzazi wake kwa imaginary stories.
ReplyDeleteJamani mwanadada Ray C sikufichi wimbo wako mzuri na nimekubaliana na ujio wako Bt sijapenda ulivyo now umekuwa fat mno kama vip usiongezeke sana.
ReplyDeleteRayC sisi tunakujua wewe ni bingwa wa midundo ya 'nachi'(kihindi) au kwa east afrika mashariki ni midundo ya Juma Bhaloo, sasa kwenda 'kimarekani' hakukufai.
ReplyDeleteila ukitoa mdundo wako mwingine wa ki-'nachi-nachi' basi tumia studio hiyo maana sound quality baaab-kubwa.
Mdau
Mambasa
Duh... too american iko wapi a touch of identity na culture yetu????...hatuko creative.....
ReplyDeletehahaha jamani bongo pia wanafanya plastic sugery,maana naona mchumba wa mkuu wanaanii amenenepa maziwa tu.
ReplyDeletei am nt a hater but frankly speaking wimbo huu hauna maana yoyote naona ni kama zile za mista nice tu ,na kama ndo hakatiki tena basi flavor "kwishnehi"....
ReplyDeletekuhusu kunenepa ni uamuzi wa mtu no comment about that,mm nimebase kwenye wimbo.
Wee kaka michuzi siku ile ray c april umemvisha pete alionekana kama mjamzito? je kashajifungua? na mwana anaendeleaje? May be ndio sababu ya kuongezeka uzito
ReplyDeleteGood work!
ReplyDeletewimbo mdundo wake nimeukubali, ila nakushauri tu ufanyie shooting nyingine na uutafutie staili nyingine ya kuucheza, nimzuri. sioni kama style hii inaukubali vizuri.
ReplyDeleteMidundo ya wimbo nimeikubali. Ambacho sijakubaliana nacho ni huo mkorogo tu ambao Ray C anaupaka mwilini . Hiyo siyo natural colour yako dadangu, punguza hizo cream. Kuna tofauti kubwa mnoo ya rangi ya ngozi yako katika video zako za Mwanzoni kabisa kama vile ile video ya "Mapenzi Yangu" na hii ya sasa. Unajiharibu shosti.
ReplyDeletesafi sana mama bee se-chalamila
ReplyDeletetoto linalipa hili dah,kifua,kiuno,nyama,JICHO
vibaya-vibaya
aisee mbona titizzz ziko nje-nje ivo?
ReplyDeletetaratibu warembo
she gotta a nice paja
ReplyDeletesakas kraun
ReplyDeleteI agree na mdau wa kwanza,not exactly your best perfomance,try to stick to your roots and try to get a good choregrapher if u wanna do these kinda videos.
ReplyDeleteNB.
Ashanti alibondewa na watu kwa kutojua cheza,ndoo maana kuna arwads aliperform na kujaribu kucheza like there was no Tommorrow....tehehehe
I BEG YOU PLEEEEEEAS!DONT TAKE THAT ROUTE,IT MIGHT YOUR DEMISE.
ReplyDeleteRekebisho- it might be your demise
ReplyDeleteRehema mdogo wangu mambo yako ni ya Uhindini na mchanganyiko wa kimwambao.Kule ndiko unakubalika na soyo siri unatisha.Haya mambo ya uzungu-Umarekani utaharibu sasa hivi.Go back where you belong and be the best of you.
ReplyDelete