msanii moto wa kizazi kipya RAY C aibuka upya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2009

    too much animation,i think this one isnt one of her best perfomances

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2009

    Hongera sana Rehema,
    naona unakuja kuwa Rihanna wa Tanzania sasa hiyo ndo mitindo,,ila uangalie sana naona kifua chako kimenza kuwa kinene hovyo...usikubali kunenepa kifua.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2009

    Mh Balozi na Mkuu wa wilaya ya nanihii,
    Nimeona fiancee wako ametoa kitu bomba sana, nina mtakia kila la heri na mafanikio tele.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2009

    what? kuna watu wanajua kutukana? Rihana kufananishwa na RAY C? Hayo ni matuzi makubwa kwa RAY C kwani level aliyopo yeye si sawa na na ya Rihana. sasa anapotekea mtu kama huyu mdau wa kwanza na kumdanganya kwa kumfananisha na Rihana ni kama kumfanya vile ni mtoto mdogo anapodanganywa na mzazi wake kwa imaginary stories.

    ReplyDelete
  5. Jamani mwanadada Ray C sikufichi wimbo wako mzuri na nimekubaliana na ujio wako Bt sijapenda ulivyo now umekuwa fat mno kama vip usiongezeke sana.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2009

    RayC sisi tunakujua wewe ni bingwa wa midundo ya 'nachi'(kihindi) au kwa east afrika mashariki ni midundo ya Juma Bhaloo, sasa kwenda 'kimarekani' hakukufai.

    ila ukitoa mdundo wako mwingine wa ki-'nachi-nachi' basi tumia studio hiyo maana sound quality baaab-kubwa.

    Mdau
    Mambasa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2009

    Duh... too american iko wapi a touch of identity na culture yetu????...hatuko creative.....

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 09, 2009

    hahaha jamani bongo pia wanafanya plastic sugery,maana naona mchumba wa mkuu wanaanii amenenepa maziwa tu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 09, 2009

    i am nt a hater but frankly speaking wimbo huu hauna maana yoyote naona ni kama zile za mista nice tu ,na kama ndo hakatiki tena basi flavor "kwishnehi"....
    kuhusu kunenepa ni uamuzi wa mtu no comment about that,mm nimebase kwenye wimbo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 09, 2009

    Wee kaka michuzi siku ile ray c april umemvisha pete alionekana kama mjamzito? je kashajifungua? na mwana anaendeleaje? May be ndio sababu ya kuongezeka uzito

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 09, 2009

    Good work!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 09, 2009

    wimbo mdundo wake nimeukubali, ila nakushauri tu ufanyie shooting nyingine na uutafutie staili nyingine ya kuucheza, nimzuri. sioni kama style hii inaukubali vizuri.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 10, 2009

    Midundo ya wimbo nimeikubali. Ambacho sijakubaliana nacho ni huo mkorogo tu ambao Ray C anaupaka mwilini . Hiyo siyo natural colour yako dadangu, punguza hizo cream. Kuna tofauti kubwa mnoo ya rangi ya ngozi yako katika video zako za Mwanzoni kabisa kama vile ile video ya "Mapenzi Yangu" na hii ya sasa. Unajiharibu shosti.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 10, 2009

    safi sana mama bee se-chalamila

    toto linalipa hili dah,kifua,kiuno,nyama,JICHO

    vibaya-vibaya

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 10, 2009

    aisee mbona titizzz ziko nje-nje ivo?

    taratibu warembo

    ReplyDelete
  16. she gotta a nice paja

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 10, 2009

    sakas kraun

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 10, 2009

    I agree na mdau wa kwanza,not exactly your best perfomance,try to stick to your roots and try to get a good choregrapher if u wanna do these kinda videos.
    NB.
    Ashanti alibondewa na watu kwa kutojua cheza,ndoo maana kuna arwads aliperform na kujaribu kucheza like there was no Tommorrow....tehehehe

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 10, 2009

    I BEG YOU PLEEEEEEAS!DONT TAKE THAT ROUTE,IT MIGHT YOUR DEMISE.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 11, 2009

    Rekebisho- it might be your demise

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 11, 2009

    Rehema mdogo wangu mambo yako ni ya Uhindini na mchanganyiko wa kimwambao.Kule ndiko unakubalika na soyo siri unatisha.Haya mambo ya uzungu-Umarekani utaharibu sasa hivi.Go back where you belong and be the best of you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...