mchungaji katika kanisa la mtakatifu petro akitoa nasaha za ndoa kuhusiana na mawifi na matatizo yatokanayo na simu za mkononi
Home
Unlabelled
ushauri wa bure kwa mawifi na wenye simu za mkononi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
wape wape father...ma-wifi nuksi!
ReplyDeletesio mawifi tu hata mashemeji wa pande zote mbili ni nuksi pia hawakawii kuvunja ndoa.Father kalonga kweli kwenye simu hili ni tatizo kubwa kwenye nyumba nyingi inabidi tuwe wastaarabu
ReplyDeleteSasa Mbona Father Katoa Ushauri juu ya Simu kwa wanaume tu?? Hajui kwambwa wanaoanglaia SImu za wenza wao ni wanawake at the MOST!!
ReplyDeleteYes, Fr. Jovin a.k.a Mchungaji> Tuanaona upewe kipindi hapo Msimbazi cha semina ya Ndoa, na wakati wa Ibada ya Misa pengine ni muda mfupi kukusikiliza na kuelewa hujumbe wako na nasaha zako. Pia siku ya Harusi, wachache wa wanwezxa kukusikiliza , Maana kama Unavyojua wanaofunga Ndoa ni wengine na wewe ni "shahidi tu wa Sakaramenti hiyo"
ReplyDeleteKila la heri unapooanza safiri ya kufanya kazi hapo Msimbazi