

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona hujamuweka kwenye link yako ya blog mbalimbali?
ReplyDeleteShut up, I mean keep your mouths put/closed.
ReplyDeleteAnko kumbe unamtoto mkubwa hivyo!! lakini inaonyesha hataki konozzzzz
ReplyDeleteMheshimiwa anko nanihii hongera sana kwa kufua ze fulanazzzzz leo.
ReplyDeletembona hamja link huyu tumuite kijana wa libeneke,no mikonoz.
ReplyDeletemichuzi mkubwa u look sexy,though i miss ze fulana
ReplyDeleteAnko!naniino! huyo mheshimiwa mwenyekiti wa jamvi laa jiachie,hapendi mikonozi utamchafulia shati lake,lakini wewe anko !usikii kwanini?
ReplyDeleteNAUNGANA NA WA KWANZA MUWEKE NA YEYE KWENYE LINK YA GLOBU MBALI MBALI AU UNAM BANIA TUNAJUA HAWEZI KUKUFIKIA.
ReplyDeleteJnr Shukrani kwa picha zetu za harusi, mungu akuzidishie Inshaallah.
ReplyDeleteI would like to stay in touch
bakashella@live.nl
Bakari
NL
...nakupenda sana michuzi mkubwa...
ReplyDeleteseriously siku nikikuona tu jaman usije nichapa kibao tu maana NTAKUWAWOOO ujue tu mie ni mdau wa globu ya jamii,sawa???sema sawaaa
(ivi ni blogu au globu?)
MICHUZI UNAKUWA KAMA SIO MZEE WA BWAWA LA MAINI? WACHEZAJI WAKITAMBULISHWA RASMI WANAKABIZIWA NA JEZI AU UMESAHAU ? SASA HAPO ULITAKIWA UMKABIZI ZE FULANAAAAAAAAAAAAAAZ HA HA HA HA.HAKIKISHA ANAVAA FULANAAAAZ KWENYE MINUSO .
ReplyDeleteNlijuwa comment yangu utaibana "NYAU WEEE" hupendi kuwambiwa ukweli eeh. Paka wa kimatumbi we! Na hii usiweke! Kama hupendi kuambiwa ukweli, si ungeifanya blog ya wewe na mkeo tu, mkafurashana ndani!
ReplyDelete....michuzi unaonekana mdogo kuliko huyo mtoto wako,unakula vizuri au asili tuu? tupe siri yako
ReplyDeleteIko siku hawa kima waliokuwa wanakutisi namna hii watasimama ili upite , akutusi hakuchagulii tusi lakini michu sasa umefikia wakati wa watu kufanya mambo makubwa sie fisi maji wote tulio ughaibuni tunakutazama wewe kama kioo cha habari na mwangaza sasa wee vumilia tuu hii mitusi maana kuna wenzetu wengine ni watoto wa ugoni na hawana mila wala desturi
ReplyDeletezidumu fikra za mwenyekiti
mitoto ya lango la uani utaijua tuu waambie "jiachie" ni mdogo wako weshaanza tete , kweli kuna tofauti ya kima na ngedele, bora ya nyani yee kutembea uchi jadi yake
ReplyDeleteMichu toa utambulisho wa kutosha hapa. Jr ni mtoto wako au mdogo wako? Naona wanajamii wanataka kujua. Tafadhali weka utambulisho wazi, biashara ati hii!!
ReplyDelete