Mkuu wa wilaya ya nanihii kunradhi ningeomba utubandikie huu uzi wa bwawa la majonzi ili tuwasikie wadau wa globu ya jamii wataizungumzia vipi, manake kwa macho yangu mie naona kama ni jezi za msiba sasa na wenzangu wanaionaje hii?
Mdau wa darajani Stamford.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2009

    Bwawa na Maini wanajua kwamba mwaka huu wanaendelea kuomboleza kukosa vikombe. Sasa katika kujiandaa kisaikolojia, wamekuja na jezi za maombolezo. Tunawasubiri Old Trafooooo tuwafanye kitu mbayaaaaa - O'C

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2009

    duh!washikaji mmeishiwa, yaani hiyo ni kaniki live.
    but sio mbaya mkionesha hadharani maombolezo yenu ya kombe la EPL kwa makumi ya miaka.
    poleni "bwawa la makongoro"

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2009

    We never walk alone, ok ni slogan nzuri inaonekana as if mlikuwa mkimshindikiza the Wacko Jacko, ni jambo zuri ila kuhusu uzuri wa nyuzi yenu ikiwa ni kwa ajili ya baclays league, mmechemka.

    Alafu we Mzee wa makonoz kwa nn mara nyingi unapenda stor za Liver, unadhani uko sahihi. Be fair bwana. na CC wazee wa Stanford darajani tupo wengi tu na tungefurahi kuona mambos yetu.

    hv tuseme unakosa habari za watoto wa abrom zenye mvuto, au ukiziweka blog yako itabadilika. Kama umeweza kuweka old pic za malindi s.c ya stone town unashindwaje hz za chelsea, au tuseme hujui kuwa Chelsea ni mabingwa wa vikombe vi3 kwa 2009/2010 ikiwemo cha baclays na UEFA.

    Mdau mwanazanzibaar.

    ReplyDelete
  4. mmmH Bwawa la maini muna musiba maana Du sijui kaniki hiyo,Hata za wale watani wetu walioamia kwenye Jezi za Rugby atleast kidogo...
    au ndi ubunifu kwishnei.

    ReplyDelete
  5. Mdau, GenevaJuly 14, 2009

    Jamani, labda kiinglish iz not rechebo lakini hiyo sio rangi ya jersey, mmeambiwa jersey kamili itazinduliwa tarehe 16 julai. Duh watu kwa kurukia mambi...!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 14, 2009

    Mdau wa Geneva umelonga...wabongo ndio zetu mbona kurukia mambo..huo sio uzi wenyewe ila utajulika katika tarehe iliyotajwa...Mdau kutoka Kambikatoto Sumbawanga

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2009

    gerald ni wa ukweli na kila timu inahitaji mtu kama yeye lkn zaidi muhimu ni vikombe babu. a hizo jezi tutaoda vp wakati bado hamjazionyesha? you'll never walk alone ni slogan inayoonyesha kumpa mtu moyo ambaye ameshaumia kwa hiyo kwa mtazamo wangu hiyo ni sawa na pole kabla ya kipigo.
    samahani ngoja nikanunue vocha nakuja...

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 15, 2009

    Keleleni hata man u kabla kutowa jezi walimuonesha Rooney kwenye giza. Engilishi noti richabo kama alivyosema jamaa hapo kwanza jezi zitazinduliwa Tarehe 16 ya Julai Pengine ndio mtaelewa Hahahahaha poleni eh. Jaribuni tena baadae. Bwawa la maini oyee. Aliyetuma hiyo hata michuzi kamcheka ndomana kaweka kajiaibisha tu zumbukuku wanasema. Pazi.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 15, 2009

    Pre-order maanake kama hujapenda unarudishiwa tumieni akili ya kuelewa. Arsenal oyeeeeeee. Man u kaishiwa mpaka wananunuwa Owen. Kimaro.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 15, 2009

    ni kweli ze inglish not richabo coz tumesoma uswahilini primary schoolz, lakini ukweli ni kuwa hiyo kaniki ndio jezi yenu ya away katika champions league,kama ilivyo kaniki nyingine ya afadhali kwa EPL aways."u will never walk alone" sure!ARSENAL will be with to share your misery (another season without trophy)tehe..tehe..tehe...tehe..msibaaaa unakuja,sare mshashona.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 15, 2009

    MCHIZI ACHA UPENDELEO, MBONA HUJAWEKA ZA MAN U, ARSENAL, CHELSEA NA BARCELONA.
    HAYA, ILA HIYO CHEZI NYEUSI ZI NZURI WAMECHEMKA KAMA SIO KUOMBOLEZA.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 15, 2009

    Nyie wabwatukaji nikianza na wewe wa darajani uliyetuma hii post wote mna matatizo. Haihitaji mtu awe na madigirii ya shahada kuweza kuona kwamba KAPITEEEEEEEEN hapo kawekewa kivuli cheusi (kwa photoshop au whatever) hiyo maana yake ni kuwa, kitu chenyewe kitaanikwa hapo muda ukifika (watch this space kesho july 16). HALAFU WEWE ANON WA 02:01, HUKO TRAFFORD NZEE SIYE NI KWA WAKWE ZETU (HUWA TUNAKUJA KUWOOOOOWA NA KUONDOKA) UNAKUMBUKA ZILE FOUR O'CLOCK???? OF ALL ZE PIPO, WEWE ULITAKIWA KUFUNGA HILO DOMO. kaa usubiri kuwolewa tena. UZI UNATOKA KESHO KUDADADEKI

    LFC or BUST
    Mdau chiggs, deslam

    ReplyDelete
  13. MPENDA SOCCERJuly 15, 2009

    JEZI RASMI KESHO,YA MAN U AWAY BADOO,.

    LOOSERFOOL WALIPATA KOMBE LA KUIFUNGA MAN U MSIMU ULIOPITA,NDO ZAO KILA MARA,KAMA SIMBA VLE,AKIMFUNGA YANGA LIGI KWAKE IMEISHA.

    OWEN SIO MZEE,GERALD ANA MIAKA MINGAPI?ETOO JE?DROGBA?CARRAGA,GALLAS?BELLAMY,WEWE UNAYESOMA HII SMS JE?? FIKIRIENI KABLA YA KUONGEA AU KUBWABWAJA TUU.KAMA OWEN NI MZEE GIGGS ATAKUWAJE?AU VAN DER SAR?

    OWEN HAJANUNULIWA,NI FREE(BURE)NA ATALIPWA KUTOKANA NA KUCHEZA KWAKE.HAKUNA HASARA HAPO.

    ReplyDelete
  14. SOCCER LOVERJuly 15, 2009

    WADAU WA SOCCER MNAOANZA MAJIGAMBO KABLA YA MSIMU KUANZA HAISAIDII,TUSUBIRIE BURUDANI ZAIDI MSIMU HUU.
    ARSENAL USAJILI WAO BADO MGUMU KUTOKANA NA UKATA.
    CHELSEA HALI SIO HALI MPAKA SASA.
    LIVERFOOLZ MMH HAWAELEWEKI,
    MAN U TAYARI FUNGA KAZI.
    MAN CITY MMMH TOP 4 KAZI MNAYO.
    LAKINI FERGIE SIO KAISHIWA,ANA POUND 60MIL NDANI,USAJILI MWEZI HUU UMEINGIWA NA DOA LA MAN CITY NA MADRID KUWEKA MADAU MAKUBWA NA MISHAHARA YA KUFA MTU,ADEBAYOR HUYOO TAYARI MAN CITY,NEXT TERRY,TEVEZ ZAMANI,MADRID ALONSO HUYOO,NI NGUMU KUGOMA.TIMU ZETU ZA HAKI KWA VIWANGU NDO ZINAUMIA ZAIDI KAMA ARSENAL,TOT'HAM,CHELSEA NAE KAFYATA NAONA,
    MSIMU HUU ZAIDI UTAKUWA NI MBINU NA SIO USAJILI.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 15, 2009

    OWEN SIO PLAYER AS YOU PLAY NYIE MNASOMA MAGAZETI ALAFU HAMUELEWI angekuwa Kama ANGEENDA TIMU ZENGINE ILA MANCHESTER UNITED WAMEJITOLEA KUMPA £50,000 KWENDA MAN U NDOMANA AKAKUBALI KWENDA SI MJINGA YEYE. KASOMENI VIZURI MUELEWE. ALITAKA KUPEWA DEAL HIYO YA KUCHEZA NDIO ALIPWE ILA ALIKATAA HULL NA EVERTON AKASEMA LIVERPOOL ANGECHEZA HATA KWA 25,000 KWA WEEK SEMA BENITEZ HAMTAKI SIO MAN U NDIO TUMEMCHUKUWA SIO HATUNYANYASI WACHEZAJI.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 15, 2009

    OWEN UZEE WAKE SI MZEE ILA MPIRA UMEKWISHA HANA KITU TENA YULE.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 19, 2009

    liverpresha mnaogopa owen asije hit hapo man u ndio maana mnatanguliza kashfa. once again fergie ataproove kuwa yeye ni master. ana uwezo wa kuona mambo kwa mchezaji ambayo wewe huwezi kuona! admit it even though you hate it.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...