ZOMBE'S CELEBRATION
globu ya jamii inapenda kumtambulisha kwako
mdau katunisti mpya anayeitwa BABA TAU ambaye
kajiunga katika libeneke la viponzo.
Hivyo, pamoja na
Kipanya na Dogo wa Uswazi BABA TAU naye
atakuwa akituburudisha kwa katuni zake zilizoenda shule
-michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kwako Baba Tau!
    Haya unayoyaeleza kwenye mchoro wako ni fikira zako 'fantasy' au ni hali halisi.

    Kamera yako hapo nyuma ya ukuta inaonyesha kuwa una ushahidi wa haya unayoyaeleza hapa.

    hongera kutuonyesha jinsi Jeshi la polisi linavyojiendesha kizembe
    kwa kumuonyesha bwana afande akiwa na sifa zote za askari mzembe mla rushwa na mpenda anasa na asiyekuwa na uwezo wa kuitekeleza kazi yake ya polisi ambayo inamlazimu kuwa na afya bora pamoja na kuwa na umbo kakamavu.

    kwa upande wa afande betina hapo tumemuona naye kuwa yupo kazini kuendeleza libeneke la anasa na uzembe nasio kuwepo kazini kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake yanayomlazimu.
    mdomo unaovutia kwa rangi za lipstiki,viatu vya juu kwa juu,nywele za kizungu ninazogonga magotini,kazi gani hapa itafanyika!

    hongera baba tau

    ReplyDelete
  2. Angalia PP anavyokula kona kushoto kwa nyimbo, waswahili wanasema anachekea tumboni asisikike.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...