Home
Unlabelled
BABATAU LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwako Baba Tau!
ReplyDeleteHaya unayoyaeleza kwenye mchoro wako ni fikira zako 'fantasy' au ni hali halisi.
Kamera yako hapo nyuma ya ukuta inaonyesha kuwa una ushahidi wa haya unayoyaeleza hapa.
hongera kutuonyesha jinsi Jeshi la polisi linavyojiendesha kizembe
kwa kumuonyesha bwana afande akiwa na sifa zote za askari mzembe mla rushwa na mpenda anasa na asiyekuwa na uwezo wa kuitekeleza kazi yake ya polisi ambayo inamlazimu kuwa na afya bora pamoja na kuwa na umbo kakamavu.
kwa upande wa afande betina hapo tumemuona naye kuwa yupo kazini kuendeleza libeneke la anasa na uzembe nasio kuwepo kazini kwa ajili ya kutekeleza majukumu yake yanayomlazimu.
mdomo unaovutia kwa rangi za lipstiki,viatu vya juu kwa juu,nywele za kizungu ninazogonga magotini,kazi gani hapa itafanyika!
hongera baba tau
Angalia PP anavyokula kona kushoto kwa nyimbo, waswahili wanasema anachekea tumboni asisikike.
ReplyDelete