Home
Unlabelled
hepibesdei ya kuzaliwa jane, kingoba na albina kwa mpigo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Anko Michu unanifurahisha saana, hizo caption mweeee!!! Hongereni wenye besdei, muendelee kukuwa na mtuletee maendeleo pia.
ReplyDeleteUncle nanihii naona jamaa wamekutesa kweli hapo maana imebidi ufunge macho kwa tabu!! pole sana!
ReplyDeleteNawakilasha hoja, Mdau wa Juu
Wala siwaonei donge wala nini,,.. Bila shaka huo haukuwa muda wa kazi jamani.Chonde chende na kodi zetu watanzania.
ReplyDeleteSalam kwa Mgaya KINGOBA
ReplyDelete-----
Paskazi -- wa--Bagamoyo Sec--Madaraka Bweni--Kingoba on the Decker...
Happy Birthday to uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Regards!
Hallo Mgaya. Nakutakia furaha na maisha marefu. Happy birthday
ReplyDeleteFrom your bro Mayange
Hongereni wabongo, mpo fasta sana katika kuuzoea upuuzi. keep it up
ReplyDeletepole Mashaka umemiss happy birth ya democracia ya tarime i hope ufike kesho haaaaaaaawabongo keep up na upuuziii kwa raha za karaha kasheshe
ReplyDeleteHAPPY BIRTHDAY 2 MIMI MZEE WA MWISHO WA RELI(NJILI MWAKOBA) AND HAPPY BIRTHDAY TO ALL OF U.NILIJUA NIKO PEKEE NIKO PEKEE YANGU.
ReplyDeleteMUNGU WENU AWE MWEMA KWENU.AMENI
midomo mikubwa mpaka raha keki inaingia polepole kabisa freshhhhh
ReplyDeleteHIZI BESIDEI MIAKA YA HUKO NYUMA HAZIKUWEPO AU NDIO MAENDELEO YANAKUJA KWA KILA UPANDE KWA MAANA MICHUZI KAFANYA BESIDEI NAMIMI NGOJA NIFANYE NA UHAKIKA WENGINE HATA TAREHE ZA KUZALIWA KWAO NI KITENDAWILI ILA WANAJIUNGANISHIA TU KUWA NI BESIDEI LABDA WANAKUMBUKA MWEZI TU SIKU HAWAIJUI HEHE KWELI TUMEENDELEA HAYA HEPI BESIDEI TUYUUUU WAUNGWANA INGAWA NA UHAKIKA NI BESIDEI YENU YA KWANZA KUFANYIKA TOKEA MZALIWE GOD BLESS U ALL!!!!!! MDAU UHOLANZI
ReplyDeletena mimi ni leo.....naomba niimbieni(Mzee Wa Mwisho wa reli)...niko mbali ningekuja mara moja...Usafiri.
ReplyDeleteHi ""happy birthday ya kuzaliwa""" kwa kweli ya leo kali....Michu mdogo wangu, nakutonya hapa (MH)
ReplyDeleteTATIZO HAMKUWAHI KUFANYIWA BIRTHDAY MKIWA WATOTO, KWANI HAMJALI MUDA WA KAZI INAONEKANA MKO OFISINI.
ReplyDeleteBro Michuzi siku nyingine usikubali ofa za keki zenye masharti ya namna hiyo,kwamba lazima ule zote tatu kwa mpigo. la sivyo utapasuka mdomo. nahisi hapo ulitumia uwezo wa ziada wa kutanua huo mdomo...tehetehetehe...
ReplyDeleteMdau
Cardiff
Happy Birthday mama mdogo Jane, jamani nimefurahi sana kukuona ni siku nyingi. Mungu akupe maisha marefu. Mwanao, Makingazi-USA
ReplyDeleteDuuh, Mbona keki wanakulisheni mipande mikubwa hivyo hata mdomo unashindwa kupokea:-)
ReplyDeleteAnyway mambo ya wazungu hayo yamepiga hodi Bongoland:-) hahahah
ilikua lunch time bwana ,happy birthday dada jane, dada albina na kaka mgaya nawatakia kila la kheri na mafanikio
ReplyDeletemimi mtoto wa dada jane secretary wa zamani daily news
Wish I was there! Daily News poa!
ReplyDeleteHappy Birthday Jane na wengine! Tutaonana hivi karibuni.