

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi naomba contact za huyo disiner ili tumtumie kwenyekazi zetu au email au wapi anafanya kazi zake tujue tumpate wapi.maana amependeza hata asiposhinda wamezoea kushinda wao wazungu siku zote sisi bado tutaendelea mpaka wachoke naubaguzi wao,kama kubarikiwa tumebarikiwa ila wao wanbana itafika wakati wataachia tu.tunakokwenda sio mchezo.
ReplyDeleteKila la kheri..Utafanya vema Lummi
ReplyDeleteHaka kabinti kamekaa utamuutamu! braza michuzi najua hizi ndio anga zako. anakuja lini Tz huyu? atanikimuona kwa macho tu mimi roho yangu iatatulia, Keep it up Illuminata
ReplyDeleteamependeza
ReplyDeleteZis iz wat wi wanti!
ReplyDeletewe wish you all the best wadau canada...my! you look beautiful...I am sure you will win this time...mungu ibariki tanzania
ReplyDeletekitu kimetulia hiki , au mnasemaje waosha vinywa?
ReplyDeletewasichana wa kitanzania ni wazuri.
ReplyDeletepretty, yes lakini sidhani kama atashinda uzuri wake anafungua njia kwa wote wale watakaotaka kujiingiza kwenye mambo ya uzuri bila ya kuogopa kwa wao ni wanatoka AFRICA. ila ni vizuri ajiweke fresh kwenye upande wa mazoezi, baada ya hapo ndio atashinda ila kwa sasa hapiti!! ukweli unauma lakini .....
ReplyDeleteMdau, New York.
Kweli kademu kamekaa vizuri NATAMANI nimtieuyodemu machoni live
ReplyDelete