Illuminata Wize, Miss Tanzania 2009, models fashion designed by Sabrina Francis of Se "B" Fashion Designing. Each specifically designed outfit were created and tailored for each Miss Universe Contestant featuring Bahamian fabrics. The Fashion Showcase took place at the Sheraton Nassau Beach Resort August 12, 2009. The 84 delegates are in Nassau competing for the title of Miss Universe 2009 that will air Live on the NBC Television Network August 23, 2009 at 9:00 PM ET from ATLANTIS, Paradise Island, Bahamas. Photo by Miss Universe Organization

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. michuzi naomba contact za huyo disiner ili tumtumie kwenyekazi zetu au email au wapi anafanya kazi zake tujue tumpate wapi.maana amependeza hata asiposhinda wamezoea kushinda wao wazungu siku zote sisi bado tutaendelea mpaka wachoke naubaguzi wao,kama kubarikiwa tumebarikiwa ila wao wanbana itafika wakati wataachia tu.tunakokwenda sio mchezo.

    ReplyDelete
  2. Kila la kheri..Utafanya vema Lummi

    ReplyDelete
  3. Haka kabinti kamekaa utamuutamu! braza michuzi najua hizi ndio anga zako. anakuja lini Tz huyu? atanikimuona kwa macho tu mimi roho yangu iatatulia, Keep it up Illuminata

    ReplyDelete
  4. amependeza

    ReplyDelete
  5. Zis iz wat wi wanti!

    ReplyDelete
  6. we wish you all the best wadau canada...my! you look beautiful...I am sure you will win this time...mungu ibariki tanzania

    ReplyDelete
  7. kitu kimetulia hiki , au mnasemaje waosha vinywa?

    ReplyDelete
  8. wasichana wa kitanzania ni wazuri.

    ReplyDelete
  9. pretty, yes lakini sidhani kama atashinda uzuri wake anafungua njia kwa wote wale watakaotaka kujiingiza kwenye mambo ya uzuri bila ya kuogopa kwa wao ni wanatoka AFRICA. ila ni vizuri ajiweke fresh kwenye upande wa mazoezi, baada ya hapo ndio atashinda ila kwa sasa hapiti!! ukweli unauma lakini .....

    Mdau, New York.

    ReplyDelete
  10. Kweli kademu kamekaa vizuri NATAMANI nimtieuyodemu machoni live

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...