Home
Unlabelled
JK akiwa ziarani lindi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kweli hapa ndipo matabaka yanavyojidhihilisha Tanzania, we unampa mtoto pipi imsaidie nini? unauhakika kama hajalala njaa? unauhakika kama amepata chai ama chakula cha mchana? vipi hayo mavazi yake? vP kuhusu elimu na afya yake? baada ya kumzawadia mtoto kama huyo uhakika wa elimu tunampa pipi tena anayefanya ni rais wa nchi na sisi tujifunze nini? harafu anampa pipi yeye anaenda kujichana katika hotel ya kifahari. harafu nashangaaa watu wanapotenza muda wao kujadili kaptula ya mama obama badala ya kujadili na kuchangia mambo kama haya ya rais kumzawadia mtoto pipi... ni aibu na inauma sana
ReplyDeleteLibe
Mtoto wa watu jamaaaaaaaaaaaaaaani...
ReplyDeleteAnony wa juu hapo kula tano. Infact mimi pia napata tabu sana na hii tabia ya rais ya kutoa vijizawadi kwa individuals. Mara kadhaa nimemwona akimwekea maskini noti mfukoni sasa sijuwi yeye kwa kuota mlo mmoja anaona amemsaidia? Kuna vitu viko ndani ya uwezo wake ambavyo akivifanya vitawasaidi mamilioni ya watu badili ya kudeal na petty issues. lakini bahati mbaya hivyo vitu havifanyiki.Rais hapaswi kuwa mtalii hao maskini anawaona ni jukumu lake kuwasaidia kisera zaidi ili waondokane na huo umaskini.
ReplyDeleteHivi nyie wadau, wakwanza na wa tatu, hivi maoni yenu mmeyasoma kabla hamjamtumia Michuzi? Yani nyinyi ndio wale mnaotaka kuletewa mpaka mlangoni, Raisi wetu ni mtu mwema na ni mtu anayestahili kuiongoza hii nchi.
ReplyDeleteKumbukeni kwamba Raisi anapita kila mkoa kuona jinsi gani watendaji wake wamefanya kazi waliyoagizwa na sio yeye ndio aende kufanya hizo kazi, watendaji wake ndio wa kuwalaumu sio yeye.
Ndio maana kuna waziri wa miundo mbinu, wa elimu, wa maji, michezo etc etc etc...acheni kuongea ongea tu kuonyesha meno yenu kama ni ya njano au meupe.
Mimi sioni baya kwa Raisi kumpatia peremende huyo mtoto, Raisi Jakaya Kikwete will always be my role model na ntampigia kura 2010.
Mdau
Ashkmatit
MIMI BILA KUJALI RAIS ANAFANYA NINI AU AMEFANYA NINI,SIANGALII SANA:
ReplyDeleteILA KITENDO CHA RAIS KUKAA MBELE YA GARI,SIJAKIFURAHIA HATA KIDOGO,KWA SABABU HALI HII INATISHIA USALAMA WA TAIFA.
WANAOHUSIKA NA ULINZI WA RAIS,NI VYEMA KOSA KAMA HILI LISIJIRUDIE,
KIONGOZI HAWEZI KUKAA MBELE YA GARI,KWA SABABU ZA KIUSALAMA:
JMK NI RAIS WA WATU, BIG UP SANA
ReplyDeleteSikujua kama Raisi wa nchi anaweza kaa kiti cha mbele......au ni ubishoo nini?
ReplyDeleteRais wa nchi anakwenda kufungua hoteli? Rais wenu ananifurahisha kweli. Sijawahi kuona, lakini ndiyo mlimchagua wenyewe
ReplyDeleteWe Anon wa nne kutoka mwanzo "Fri Aug 21, 11:08:00 AM" nafikiri ndo unakurupuka kwasababu unasoma tu lakini u don't take time to think and digest...
ReplyDeleteAnon wa kwaza na watu wanaangalia the bigger picture of the role of the president ila wewe u don't get it...
Kwamba Rais ana watendaji kazi, we unafikiri kama rahis sio mfano wa kuigwa na mawaziri wake unaowasema watakuwaje? Zero
Na ndo maana kama sijakosea mimi na wewe na wengi wanaongalia mtandao huu tuko nje...tunapoteza nguvu zetu ugenini sio kwamba tunapenda bali lack of leadership nyumbani vinatulazimu..
Teheteh Michuzi naomba leta somo la Siasa na mbinu zake huku. Maana watu wanatoa hukumu za kijingaaaaaaaa haziwasaidii my dears mtoto kafurahia pipi alizopewa na Rais iwe dharau iwe furaha ni juu yake!! Bora hata yeye katoa pipi wewe ukienda kijijini kwenu unamshika hata mtoto wa jirani mkono kumsalimu? achalia mbali kumkaribisha hata chakula ukiwa kwenye ile stuli nje ya nyumba unakula? ACHENI HIZOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
ReplyDeleteWe nani ashkmatit sijuwi nahisi wewe ndio hujasoma comments zetu umeishia kukurupuka tu. Hatukusema kutoa pesa au hivyo viperemende ni makosa no. Point yetu ni kwamba akiishia hapo hatakuwa amewesaidia sana hao walengwa. Na akitoa hizo pipi then aache resources zetu zikaliwa na wachache wabinafsi hajafanya kazi yake bado. Wote tunajuwa namna ambavyo mabilioni ya kodi zetu zilivyoliwa na hakuna hatua za dhati zilizochukuliwa so far. Huyo mtoto anayepewa pipi hana uhakika wa afya ya msingi na elimu bora simply kwa sababu kuna watu wabinafsi wanatafuna kodi zetu. Jamani rais hawi rais wa watu kwa kutoa pipi na kufungua hotel then akarudi magogoni. Hatujasema atuletee mlo nyumbani no asimamie resources ziboreshe maisha yetu kama elimu, barabara, matibabu n.k na si vinginevyo.Let's be serious wandungu.
ReplyDeleteanatoa sadaka jamani ingawa sote tumeona.......
ReplyDelete...kwa kweli annons:
ReplyDelete03:48:00 AM
10:47:00 AM
02:14:00 PM
me huwa sielewi kabisaaa aya mambo,ivi watendaji wengine wanafanya nini?
bela wee Fusi kiki icho?
HAPO ULIPO POPOTE NJE YA TZ JIULIZE SWALI MOJA TU. JE KWANINI UMEKIMBIA BONGO???? Nataka kuona majibu yenu kwanza
ReplyDeleteujinga mtupu
ReplyDeleteHII BABU KUBWA, RAIS WA BONGO KUKAA KITI CHA MBELE? AMA KWELI BONGO TAMU NO SECRET SERVICE AU NDIYO BABU KATUPWA KITI CHA NYUMA, SHUKRAN KWA NCHI YETU YENYE AMANI WEE!!!
ReplyDeleteTumekimbia bongo kwa kuwa njaa kali!!! uko madarakani wote mafisadi. Hakuana anaemjali masikini, masikini na mkokoteni wake tajili mafisadi na magari yao ya wizi, ya mahela wanayowaibia umma wa watanzania masikini,Ajila hakuna, ukifanya kibiashara vati unalipa kibao pamoja na umasikini wako. makapuni ya wawekezaji hawalipi kitu. kazi kuwanyonya masikini. Ndio maana tumetimua.
ReplyDeleteMimi napenda kuuliza tu jamani na bro michuzi naomba uniwekee comment yangu..Mheshimiwa anatembea na peremende ndani ya gari lake akiwa anafanya ziara maeneo kama hayo au alipanga kuwa kwa kuwa anaenda hilo eneo ni bora aende na peremende za kuwapa watoto??Na hizo noti anawatia watu mfukoni zinatoka wapi au pia nazo zinakuwa zimepangwa ama rahisi anatembea na pesa siku hizi incase akiona kitu njiani anajiachia tu?dah wahenga walisema ukistaajabu ya Musa...mambo ya ajabuajabu..
ReplyDeleteMtwana haachi tabia yake! Hasipo kaa kiti cha mbele mtamjuaje kuwa yeye ndie boss? Hii tabia tunayo wengi wetu,wenyewe twaiita kukata kishoka.
ReplyDeletenyi mnaolalamika mhesh. Rais kukaa kiti cha mbele hii ni sahihi kabisa akiwa kwenye ziara za ndani ili aweze kuona wa2 na wao wamuone wala sio breach of security,mkumbuke anamlinzi nyuma yake na gari ya mbele na gari ya nyuma pia, huo ndo utaratibu.Nenda kwenye jamii forums(jambo) tafuta thread inaitwa walinzi wa viongozi Duniani pata darasa hapo..
ReplyDeleteAsalam Aleykhum!
ReplyDeleteBwana Michuzi,mimi nina tatizo moja tu.Kuna baadhi ya watanzania,wakiondoka hapa Bongo,hujifanya wao ndo wanaelewa kila kitu.Lakini mimi nawasikitikia tu,nawaona ni wafinyu tu wa mawazo na uelewa mdogo.Kama jambo hawalifahamu lazima waulize.Hata maoni yao ukiyaona humu,ni kama zile stori wanazopiga vijiweni wakija hapo Bongo,kuwasimulia washamba wenzao kwamba Ulaya kuna hiki,mara kile na ujinga ujinga mwingine.Hawajui kwamba hiyo dunia watu kutoka TZ walisha explore miaka mingi tu iliyopita.
Mtu unaanzaje tu kuponda kwamba RAIS KAKAA KITI CHA MBELE!Nyambafu,hivi unafikiri watu wote wana akili finyu kama wewe,na kwamba hawakuzingatia mambo yote ya msingi kuhusu usalama?unaelewa nini wewe kuhusu usalama wa ndani ya Tanzania hasa kuhusu mtu muhimu kama Rais?Pumbavu,kama mmechoka kubeba mabox,tafuteni shughuli nyingine ya kufanya,SIO KUTULETEA UTUMBO WENU HAPA THINKING KWAMBA YOU KNOW A LOT.
Mkulima-Kijijini Gezaulole.
Well said mkulima wa Gezaulole.Mimi pia ni mtanzania naishi New York and nafanya kazi professional.Ila inasikitisha sana watu walio nje ya nci kuona kuwa kila kitu chetu nyumbani kiko wrong.Sad in deed. but i GUESS watu tunatofautiana.Mimi niki abroad for a very long time but kusema kweli nyumbani tumepiga hatua kubwa sana and I admire our president anajitahidi sana
ReplyDeleteGod bless Tz and it's people
Mkulima mkulima tu! Rais kukaa kiti cha mbele si sahihi kubali usikubali,inabidi darasa ili kukuelewesha. Ila pole kama ukweli umekuuma, kaangalie matango yako shambani.
ReplyDelete