Home
Unlabelled
JK azuru longido, afuturisha a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mama Kikwete waonaje uendelee kuvaa hivyohivyo hata baada ya kuisha kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhani? Umependeza sana!!
ReplyDeleteMwacheni First Lady wetu,wewe anon huna la kusema nn?
ReplyDeletejk hivyo hivyo 2010 unapata 90% ya kura zote jamaa watakuchagua tu ila sasa hivi kuna longo longo kibao,mara ooh sisi tunaisubiri ccm mwaka 2010,mtu mzima hatishiwi nyau!MUNGU AKUBARIKI SANA RAISI WETU ENDELEA KUTUONGOZA WATANZANIA WOTE BILA KUJALI ITIKADI KWANI WOTE TUMEKUCHAGUA PIA
ReplyDeletembinguni hatuendi kwa mavazi BALI WALE WASAFI WA MIOYO OK,
ReplyDeletejk big up endelea hivyo hivyo kushirikiana na watanzania wote katika kila mikusanyiko bila kujali dini,itikadi au kabila ur a man of people ingawa ukienda kwingine jamaa hawachelewi kupaza sauti eti unawapendelea mmh
ReplyDeleteCCM NINAVYOKUPENDA NITAKUNYWA SUMU JUU YAKO HAHAHAHA CCM NI NAMBARI ONE.CCM ITACHUKUA ,ITAWEKA ,ITABWAGA WAPINZANI MWAKA 2010. CCM OYEEEEEEEE
ReplyDeleteKIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.HATUOGOPI WARAKA HATA IJE HAMSINI.JK ATAENDELEA KUWA RAISI MZURI MILELE.TZ HE IS A SOURCE OF REALY DEMOCRACY WITHIN AND OUT CCM
Kuvaa hijabu kwa mwanamke ni suala la lazima. Ukienda kinyume cha hapo ni dhambi. Kuna ubaya gani Mama Salma akiendelea kuvaa hijabu au kujitanda kama alivyofanya hapo kwenye picha? Havai hijabu kwa ajili ya mtu ila ni kutimiza amri za Mwenyezi Mungu SWT. Ukiamua kuacha kuvaa rukhsa ila ujie utaulizwa hiyo siku ya masiku. Chagua lipi bora. Dunia kuwafurahisha walimwengu au Akhera kumlidhisha Mola wako. Na kumbuka kuvaa hijabu si udini.
ReplyDeleteMijitu mingine bwanaa aagh. Oh JK jana alikuwa Monduli kwenye birthday ya mbunge wa
ReplyDeleteMonduli kumbe majungu tu. Kwanza jana ni Ramadhani kwa hiyo kuenda is out of question. Kumbe mzee alikuwa Longido. Nchi hii maneno memngine yanakera haswa.
wale wanaoongelea kuhusu nguo.Tusiangalie yanayoonekana nje tu, yale yasiyoonekana nayo ni muhimu jamani. Unaweza kuonekana saafi kwa nje lakini ndani kunatibua kila kitu na siku ya mwisho utaulizwa pia haijalishi ulikuwa unavaa nini.
ReplyDeleteuwezo wa mwanadamu ni kuona kwa macho ila Mungu ndiye anayeona hadi mawazo ya mwanadamu yoyote yule anafikiria nini?yawezekana mtu akawa nadhifu kwa mavazi kumbe roho yake imejaa uuaji au mawazo ya zinaa,mama jk waa! kila vazi linakupendeza waa! first lady wetu,ila usimshauri vibaya mzee kama yule the former one te te te!
ReplyDeletemdau nawasilisha ngoja niwahi kubeba box zangu nipate walau usd
Kusafisha moyo ni imani na kusafisha mavazi ni matendo. Ukikosa mojawapo haumo katika wa mbinguni. (imani bila matendo ni.....)
ReplyDeleteNyoyo hatuwezi kuzikagua (wala si kazi yetu), ili mradi twaona matendo yao ni mema basi na nyoyo zao pia.
Kuna mlokole (mwenye fikra) aliwahi kunieleza kuwa "MATENDO NI ISHARA YA YALIYO MOYONI"
Kuna watu wanaumizwa na hijabu na wameshindwa kuvumilia na kuanza kuleta mashambulizi ya nyoyo.
ReplyDeleteUkiwa na moyo safi na mikono michafu ujue pia haisaidii.
Ok, nyoyo safi lakini fikra na mdomo vibaya, mnasemaje?
ReplyDeleteKwa nini watu wanafikiria kuwa wavaa hivyo wana nyoyo siyo safi? hiyo siyo moyo mchafu?
Yaani watu wanafuata dini yao wewe unasema nyoyo chafu? Nini maana ya kufuata dini?
ReplyDeleteMfano, dini gani inahimiza kuiba, zinaa, uongo, dhuluma, kutu?
Hii dini ya waislamu ni ya kati na kati. Matendo kiasi na spirit kiasi. Haina extrema katika matendo wala spirit.
ReplyDeleteWakristo wao huwa na spirit (extrem) kubwa mno hamna mtu duniani anawafikia lakini kwenye matendo pana kidogo.....
Wayahudi nao kwenye matendo hakuna mtu anawafikia lakini spirit, ...so so. walishindwa hata kumwamini Yesu.
Lakini kuna watu wanosema
"MATENDO NI DALILI YA KUWEPO IMANI"
Chonde chonde, uhuru wa dini, na uhuru wa mavazi (hijabu ruksa, kimin ruksa.
ReplyDeletekama hujisikii si ukawahubirie huko misikitini kwao sio hapa buloguni.