JK akisalimiana na Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa alipowasili mazishini
baadhi ya Maaskofu kwenye mazishi
Sehemu ya umati mkubwa wa waombolezaji mazishini
JK na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Askofu Mkuu Jimbo Katoliki la Mwanza Marehemu Mhashamu Antony Mayala wakati wa ibada ya Mazishi iliyofanyika nyumbani kwake eneo la Kawekamo,Mwanza na baadaye kuzikwa katika kanisa kuu la Epifania mjini Mwanza.
JK akimpa pole Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Mhashamu Yuda Thadei Ruwaichi wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa askofu mkuu jimbo Katoliki la Mwanza, iliyofanyika katika makazi easmi ya askofu mkuu huko Kawekamo mjni Mwanza leo mchana.
Picha na Mdau Freddy Maro wa Ikulu.








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. RAHA YA MILELE UMPE EEEH BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE ASTAREHE KWA AMANI.


    AMINA

    ReplyDelete
  2. Michuzi naomba email yako kuna article nataka nikutumie.

    thanks

    ReplyDelete
  3. Hakika poleni sana watu wa Mwanza na kanisa katoliki kwa ujumla kwa kumpoteza mpendwa wetu aliyekuwa Mhashamu baba askofu Mkuu Anthony Mayala. Tunamkumbuka kwa mengi lakini kubwa zaidi ambalo halitasahaulika ni upendo wake kwetu aliokuwa akituasa kipindi chote cha uhai wake. Siku zote tutakukumbuka kwa kuwa among the champpions on inaguration of Sinodi Mwanza hatimaye Sinodi africa. Nilikuwa mmoja kati ya vijana tulioshuhudiwa kuzinduliwa kwa sinodi mwanza pale kanisani Nyakahoja. Alikuwa mstali wa mbele katika kukemea mauaji ya vikwonge pamoja na maalbino. Siku zote kizuri hakidumu, Real we have lost an important creature who still we were i need of him. Tulikupenda sana baba yetu mpendwa lakini mwenyezi mungu amekupenda zaidi yetu na kukuita kwake. Hakika tutakukumbuka milele. Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu pema popeni Amein.

    ReplyDelete
  4. Kwanza:Poleni ndugu wa mwanza kwa kuondokewa na kipenzi wenu.

    Pili: wale watu amabo imani yao inawatuma kukashifu mavazi ya ibada mbona wako kimya?

    ReplyDelete
  5. ulifanya mengi hakika tutakukumbuka kwayo na kuyaenzi, mwenyezi mungu akupe raha ya milele ameni

    ReplyDelete
  6. Hili la mwanamama wa kiislamu kuitazama maiti limekaaje?

    ReplyDelete
  7. we anonymous 7:44 kwa mwanamama wa kiislamu kuitazama maiti tena ndani ya mwezi mtukufu hii nadhani kutokana na nyazifa na uzito wa msiba inabidi na sio kwa mwanamama tu ni waislamu wote hawaruhusiwi regardless of sex.
    Na ndio maana kama kiongozi ana wadhifa fulani mkumbwa si lazima waage kama sio karimjee au unasemaje hapo pia ####*****!!!!!

    ReplyDelete
  8. Kumbe Pengo alipokuwa anapaka viongozi wa serikali kuhusu waraka wa wakatoliki alifanza hayo mbele ya JK? Huyu mzee kweli hawezekani! Lakini nimeupenda msimamo wake, nimeisikiliza hotba yake yote kupitia StarTV, mzee anaonekana ana msimamo mzuri kuhusu nchi hii.

    ReplyDelete
  9. pengo anauma huku anapulizia .wee unaedai muislam hatakiwi kuiona maiti sasa akifa muislam mwenzao wanatakiwa wamkimbie kama wanavyokimbia maiti wamasai nini?mi huwa nachoka na wafuata dini wa sikuhizi wanavyopenda kujichagulia dhambi zile rahisi rahisi ndio wasizifanye lakini kumbe dhambi ni dhambi tu.mtu anakwambia kula nguruwe dhambi huku anazini au anavuta tumbaku na kunywa pombe.BINAFSI SITAKI KUSIKIA KABISA MAMBO ZA DINI YEYOTE ILE AMBAYO IMEFANYA KUJA TU BONGO,KWAKUA HUKO ZILIKOANZISHWA WALISHAZIACHA ZAAMAAAAAAAAAAANI

    ReplyDelete
  10. PoliticianAugust 29, 2009

    Ndugu Lonin'go hata mimi nilifikiri amefanya hivyo mbele ya JK na Mkapa na Kandoro. Nimetafiti kume hayo aliyazungumza wakati wakubwa hao walikuwa wameisha ondoka. Mimi sielewi kwa nini Pengo naye anaangukia mtego huo huo wa wanasiasa wa kutoa matamshi kama yale ili Watanzania wote wasikie kama na yeye is not a politician sijui utamwitaje? Maana anayo fursa nzuri tu ya kwenda Ikulu na kuonana na Rais au hata Waziri Mkuu Pinda ambaye ni muumini wake na mwana wa kaya. Tatizo ni nini? Pengine hapo ndipo concern ya Kinguge becomes valid. Unless mwakani naye anataka kugombea Urais kwa sababu hakuna kizuizi. Otherwise his public statements have a lot of political undertones to say the least. Imagine Cardinal Pengo agombee urais si itakuwa patashika. Unafikiri patakalika? It will be explosive indeed!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...