Kaka Michuzi,
Nadhani u mzima na unaendelea vizuri na shughuli za kila siku. Hivi karibuni nilitembelea uwanja wa mpya wa kisasa unaojengwa hapa Green Point Cape Town moja ya eneo mashuhuri sana kwa watalii kwa ajili ya nusu fainali za kombe la dunia 2010. Uwanja huu ni maalumu kwa nusu fainali na kwa sasa umefikia hatua nzuri sana. Nadhani wadau wangependa kuona hizi taswira.
Mdau sabuni akiwa njiani kuelekea kwenye neshno hilo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Picha kaka lazima zikupe mke,umetoka chicha.

    ReplyDelete
  2. hee sabuni jaman bwana yesu asifiwe!
    za siku?yaan ata skutegemea kukuona humu,umepata kitambi kaka sio mchezo
    Angel

    ReplyDelete
  3. Asante Mdau Dazo kwa mataswira bomba. Mbona hilo ghorofa hapo nyuma ni kama Mabibo Hostel?

    ReplyDelete
  4. Uwanja nitu na box, hogera sana mdau kwa kuwasilisha. nasikia SMZ ina mpango wa kujenga uwanja kama huo Pemba ili kumaliza longolongo!!!

    ReplyDelete
  5. Wa South wananitia mashaka sana kuhusu maandalizi ya kombe la dunia mwakani, yaani mpaka leo hii, imebaki miezi kumi tu kombe la dunia lianze wao bado wanajenga viwanja! Watatutia aibu Waafrika kwa kushindwa kufikisha viwango vya maandalizi vinavyotakiwa

    ReplyDelete
  6. EBWAN HUYU SABUNI NAMKUMBUKA NI MTUMISHI WA MUNGU SAN HUYU JAMAA ILA SIJUI ALIKUWA MINAKI AU JUNIOR SEMINARY KAMA ATASOMA HII COMMENT ITAKUWA VIZURI SANA ANIRUDISHIE MAJIBU

    ReplyDelete
  7. How ar u Dazzooo!!!!!!!!!!
    Nimefurahi sana kukuona humu,upo!
    Greatings to my wife wako.

    Eddy

    ReplyDelete
  8. naona pinda style sio agili sana lkn

    ReplyDelete
  9. wala usiwe na wasiwasi wowote wewe unaesema utatiwa aibu viwanja vote karibia vinaiha hata hiki ndio kipo ktk finishing sema upande huu aliopigia kutokea waterfront ni vigumu kuielewa picha inzusi mie naishi juu ya mlima seapoint nachungulia sasahivi dirishani naona roof yote wamemaliza december wanakabidhi viwanja vote na mc donald kwa pembeni ipo ready na barabara na park mbele yake ndo kwanza naona wanamwagilia maji kila kitu kipo ktk muelekeo wa uhakika nyie nunueni ticket tu ok powa mdau mike from seapoint cape town

    ReplyDelete
  10. tununue ticket tuje tukabwe?binafsi i hate worldcup ku-take place sauzi

    ReplyDelete
  11. wewe ndugu yangu unaezungumzia kukabwa hata hapo ulipo wanakaba kinoma kwahio popote pale unaweza kukabwa we sema tu huna fweza za kwenda sauzi fish and klaaa

    ReplyDelete
  12. My GOD!!
    Angel Uko wpi sikuhizi?
    Long time duuu
    Kaka Sabuni nakukumbuka sana
    Mdau China

    ReplyDelete
  13. mungu wangu jamani kaka soap bwana yesu asifiwe sana, du namkumbuka huyu kaka alikuwa mwalimu wetu wa scripture tukiwa zanaki secondary mwe!! jamani umenenepa sana kitambi hicho mmmh tumshukuru mungu ila umependeza kaka, hongera

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...