Nadhani u mzima na unaendelea vizuri na shughuli za kila siku. Hivi karibuni nilitembelea uwanja wa mpya wa kisasa unaojengwa hapa Green Point Cape Town moja ya eneo mashuhuri sana kwa watalii kwa ajili ya nusu fainali za kombe la dunia 2010. Uwanja huu ni maalumu kwa nusu fainali na kwa sasa umefikia hatua nzuri sana. Nadhani wadau wangependa kuona hizi taswira.
Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Picha kaka lazima zikupe mke,umetoka chicha.
ReplyDeletehee sabuni jaman bwana yesu asifiwe!
ReplyDeleteza siku?yaan ata skutegemea kukuona humu,umepata kitambi kaka sio mchezo
Angel
Asante Mdau Dazo kwa mataswira bomba. Mbona hilo ghorofa hapo nyuma ni kama Mabibo Hostel?
ReplyDeleteUwanja nitu na box, hogera sana mdau kwa kuwasilisha. nasikia SMZ ina mpango wa kujenga uwanja kama huo Pemba ili kumaliza longolongo!!!
ReplyDeleteWa South wananitia mashaka sana kuhusu maandalizi ya kombe la dunia mwakani, yaani mpaka leo hii, imebaki miezi kumi tu kombe la dunia lianze wao bado wanajenga viwanja! Watatutia aibu Waafrika kwa kushindwa kufikisha viwango vya maandalizi vinavyotakiwa
ReplyDeleteEBWAN HUYU SABUNI NAMKUMBUKA NI MTUMISHI WA MUNGU SAN HUYU JAMAA ILA SIJUI ALIKUWA MINAKI AU JUNIOR SEMINARY KAMA ATASOMA HII COMMENT ITAKUWA VIZURI SANA ANIRUDISHIE MAJIBU
ReplyDeleteHow ar u Dazzooo!!!!!!!!!!
ReplyDeleteNimefurahi sana kukuona humu,upo!
Greatings to my wife wako.
Eddy
naona pinda style sio agili sana lkn
ReplyDeletewala usiwe na wasiwasi wowote wewe unaesema utatiwa aibu viwanja vote karibia vinaiha hata hiki ndio kipo ktk finishing sema upande huu aliopigia kutokea waterfront ni vigumu kuielewa picha inzusi mie naishi juu ya mlima seapoint nachungulia sasahivi dirishani naona roof yote wamemaliza december wanakabidhi viwanja vote na mc donald kwa pembeni ipo ready na barabara na park mbele yake ndo kwanza naona wanamwagilia maji kila kitu kipo ktk muelekeo wa uhakika nyie nunueni ticket tu ok powa mdau mike from seapoint cape town
ReplyDeletetununue ticket tuje tukabwe?binafsi i hate worldcup ku-take place sauzi
ReplyDeletewewe ndugu yangu unaezungumzia kukabwa hata hapo ulipo wanakaba kinoma kwahio popote pale unaweza kukabwa we sema tu huna fweza za kwenda sauzi fish and klaaa
ReplyDeleteMy GOD!!
ReplyDeleteAngel Uko wpi sikuhizi?
Long time duuu
Kaka Sabuni nakukumbuka sana
Mdau China
mungu wangu jamani kaka soap bwana yesu asifiwe sana, du namkumbuka huyu kaka alikuwa mwalimu wetu wa scripture tukiwa zanaki secondary mwe!! jamani umenenepa sana kitambi hicho mmmh tumshukuru mungu ila umependeza kaka, hongera
ReplyDelete