Home
Unlabelled
kiota cha maraha cha runnaway club chazidi kushamiri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hicho kiota kinaonekana bomba ila wameharibu kitu kimoja tu,,,smoking inside the club???
ReplyDelete"sehemu maalum" yuse yua common sense, huko peke yako kwenye uroda!!
ReplyDeleteTUSIIGE MAMBO BILA YA KWENDA NAYO NA WAKATI, ULE MTINDO WA KUTENGA SEHEMU YA WAVUTA SIGARA ULIKWISHA ONDOLEWA, MVUTA SIGARA ANATAKIWA AKAVUTE NYUMBANI KWAKE TU. SIJUI HAWA WENYE UKUMBI KWA KUTENGA SEHEMU YA WAVUTAJI WAMEWEKA KIFAA CHA KUHAKIKISHA KUWA MOSHI HAUVUKI ENEO LAO NA KWENDA ENEO LA WASIOVUTA?
ReplyDeleteWale machizi na vibaka wa kisiwani si wanawakaba watu kila wiki end hapo Shoppers Plaza?Nakumbuka miaka ya 90 maeneo hayo ulikuwa huwezi pita Salama nyakati za usiku.
ReplyDeleteclub ni nzuri ila wengi wakishatoka hapo ulia na kiingilio!nimegundua wabongo wengine wanaoenda pale ni kutaka kujionyesha nipo,yale mambo na mm nilikuwepo,kumbe mfuko unabana!tusifanye starehe ya kulizisha watu...tuachie wanao weza
ReplyDelete