hapa ni katika kiota cha maraha cha Runnaway Club kilichopo ghorofa ya pili katika jengo la Shopper's Plaza jijini Dar ambapo pamoja na kuwa mhango mlangoni ni mbau lakini kinafurika wadau utadhani kiingilio ni bure.
mandhari ya Runnaway Club
sehemu ya kujirushia

panapendeza na muziki wa disko ni moto
wengi hupenda kusimama na wengine huketi kwenye sofa. shoto kwenye vioo ni sehemu maalumu ya kupigia pafu kwa wavutaji






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hicho kiota kinaonekana bomba ila wameharibu kitu kimoja tu,,,smoking inside the club???

    ReplyDelete
  2. "sehemu maalum" yuse yua common sense, huko peke yako kwenye uroda!!

    ReplyDelete
  3. TUSIIGE MAMBO BILA YA KWENDA NAYO NA WAKATI, ULE MTINDO WA KUTENGA SEHEMU YA WAVUTA SIGARA ULIKWISHA ONDOLEWA, MVUTA SIGARA ANATAKIWA AKAVUTE NYUMBANI KWAKE TU. SIJUI HAWA WENYE UKUMBI KWA KUTENGA SEHEMU YA WAVUTAJI WAMEWEKA KIFAA CHA KUHAKIKISHA KUWA MOSHI HAUVUKI ENEO LAO NA KWENDA ENEO LA WASIOVUTA?

    ReplyDelete
  4. Wale machizi na vibaka wa kisiwani si wanawakaba watu kila wiki end hapo Shoppers Plaza?Nakumbuka miaka ya 90 maeneo hayo ulikuwa huwezi pita Salama nyakati za usiku.

    ReplyDelete
  5. club ni nzuri ila wengi wakishatoka hapo ulia na kiingilio!nimegundua wabongo wengine wanaoenda pale ni kutaka kujionyesha nipo,yale mambo na mm nilikuwepo,kumbe mfuko unabana!tusifanye starehe ya kulizisha watu...tuachie wanao weza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...