Bwana Nanihii,
Wape michapo wana globu yetu ya jamii, matayarisho ya Ramadhan yamepamba moto hapa Zenj, harusi kila kichochoro hapa kwetu watu wanataka wakapikiwe futari
Tuwatakie maisha ya kheri na salama, baraka na furaha tele AMEEEEN
---------------------------
GLOBU YA JAMII INATOA PONGEZI KWA MDAU WA ZENJI KWA TASWIRA HIZI MURUA, NA TUNATARAJIA NYINGI ZAIDI (ZA KIGOMA CHA DAKU NA FUTARI) KUTOKA KILA PEMBE YA DUNIA, KADRI SIKU ZINAVYOKWENDA KWENYE MWEZI HUU MTUKUFU AMBAO PANAPO MAJAALIWA CHUNGU MOJA TWAIANZA KESHO.
GLOBU YA JAMIIU INAWATAKIA WADAU WOTE POPOTE MLIPO DUNIANI RAMADHAN KAREEM NA INSHAALLAH MOLA ATATUAFU TUANZA NA TUMALIZE SALAMA.
-MICHUZI
Poor Cow , Animal Brutality waswahili bwana.
ReplyDeletekaka mambo hayo ya zenji hakika ndoa raha yake siku hizi mambo ya mifugo kutumika kama limo nimeona kwa Iren uwoya lakini sasa hii tamu zaidi nature zaidi mungu awabaliki wote mfungo mwema kwa wale wenye imani ya kiislamu,ahsante kaka
ReplyDeletelimo ja kimaskini
ReplyDeletebibi harusi kanona huyo...mmh ama kweli wakubwa hufaidi...ndio maana huku denmark kumbe wameamua kupiga marufuku vazi la hijab ili watu wasafishe macho
ReplyDeletehayo ndio mambo ya kiyakhe harusi kwa n`gombe kama chai kwa haluwa asiule mchana mwezi mtukufu huu
ReplyDeleteBro michuzi hii kitu bomba kweli, atleast they'r not ashamed of it. Nawatakia watu wooote popote pale walipo, ramadhan kareem, m/mungu awajalie faraja funga zenu zikubalike inshallah kheri.
ReplyDeletewewe mkavirondo huko juu kabisa, huyo ni punda na punda ni mnyama mwenye uwezo wa kufanya kazi za nguvu. Ya waswahili waachie waswahili na sisi waswahili, tutawaachieni yenu ya kikavirondo.
ReplyDeleteKumbuka, limo ni za kidhungu na wala siyo za kikavirondo. jiulize huko kweni ukavirondo (Kilimanjaro, mbeya, iringa, Rukwa, Bukoba, Sinyanga, etc) watu wanaoa kwa limo? au mnajifanya vitu vya wenzenu mmevizoea sana?
Anonymous 10:45:00 AM hapo juu, umeandika kwa jazba namna hiyo na kumbe macho yako hayaoni sawasawa! Una uhakika huyo ni punda? Nadhani hata punda huwajui wakoje!
ReplyDeletekaka wa 4 embu kuwa makini kidogo hapo hakuna hijabu kaka naona unasahau mila uku ketu africa mwali ufunikwa na khanga kitambaa ili pale anapokuwa ndani kumfunua lazima umlipe bibi yako au mke wa kaka ako naomba tusisahu mila hata wazungu wana mila zao tusiwe kama wamarekani ambao hawana mila kwasababu wazawa washafukuzwa waliobaki ni wahamiaji tu.
ReplyDeleteKAKA MICHUZI HII NI RAHA SANA HAO WANAONGEA NEGATIVE INAWATOUCH NA NDIO MAANA WANACHONASANA.
ReplyDeleteMAANA WAKIKUMBUKA KUA MIJANA JIKE YAO HAINA REALLUV WAPO KWA AJILI YA VIJISENTI VYAO MBUZI NA VIGARI VYAO MCHWARA WALIVYOVIPATA KWA UFISADI YANI KWA DHURMA YA KUIBA HELA MPAKA ZAWAKULIMA NA WAUZA KARANGA.
SASA WAKIONA KULE KWENYE MAHABA MTOTO MZURI YUKO RADHI APANDE GARI YA NG'OMBE KAMA TUONAVYO KULIKO KUPANDA BENZI LAKO LA KIFISADI,YANI YEYE ANAFATA REAL LUV,NYINYI WAKWENU VICHUI KAZI YAO KUCHUNA NA KUBABAIKA HAWAJUI UTU WAO.
KTK HOJA YA KUSEMA KING'OMBE ZAIFU WASWAHILI BWANA HIYO NI WIVU TU MAKWENU HUKO HIVO VIJING'OMBE MNAVILIMISHA EKA MIA NA NYINYI WENYEWE MMECHOKA ILA MNASURUBIKA HATA MAJI SAFI YA KUNYWA HAMNA!!SASA KAMA NYINYI WAZUNGU KWANINI MSINGELIMA KWA KUTUMIA MATREKTA?
MNAITIKADI ZA KITUMWA WA KIMAWAZO NA MASKINI WA KIFIKRA NA KIROHO!!NDIO MAANA KABLA YA KUINGIA MADARAKANI MAKWENU MASKINI KABISA ILA MKISHAINGIA MNATAKA KUIBA ILI MKAYAONGE HAYO MACHUI!!WENGINE MPAKA LEO HII BADO MWALALIA VIBANDA VYA MAVI YA NG'OMBE.
WATUMWA WAKIMAWAZO MNAJIONA WAZUNGU WEUSI!!HAYA HUYO MZUNGU ANAUTHAMANI GANI ZAIDI YA KUJIENDELEZA KWA KUTUMIA MABAVU§§YANI HANATOFAUTI NA MTU ALIETAJIRIKA KWA UJAMBAZI AMA UFISADI.
ACHENI UTUMWA WA KIMAWAZO
hivi rubani anaona mbele kweli? maana kofia imemfunika kabisa uso wake!!
ReplyDeletewewe uliyemwita mwengine mkavindoro ni bonge la "K"
ReplyDeleteYaani Kinyesi