bofya mshale uone video hii
Home
Unlabelled
matusi ya cafu wa brazil
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
bofya mshale uone video hii
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hehehehe..yaani, jamaa kamvisha kanzu na kibarakashia, akamvua..akabadili mawazo; akaamua kumvisha tena. na mpambe wake akavishwa, pia.
ReplyDeletecafu alikuwa noma.
...dah, ananikumbusha mambo ya Ramadhan Chombo " Redondo"
ReplyDeleteHii kitu ukiiona hata kama unatoka kufukuzwa kazi au kutaliki utacheka tu.
ReplyDeleteDuh haya ndio yalikuwa mambo ya Ali Maumba wa Coastal Union kipindi kile, sijui jamaa yuko wapi siku hizi na anafanya nini, mdau mwenye data plzzz !!
ReplyDeleteHapo unaambiwa huyo ni fulubeki. Hujakutana na viungo waliotokea Brazil ...Ronaldinho anayetuliza krosi kwa mgongo huku akitoka mbio, Robinho anayeurukaruka mpira mpaka beki anaanguka kwa kizunguzungu, Kaka (kunradhi wadau wa Man U, najua mnakumbuka alivyoacha mabeki wenu wanagongana wakati anaenda kumsalimia kipa wenu) anayekimbia kama anateleza uwanjani. Yaani kama Hussein Marsha vile.
ReplyDeleteAnony wa 04.26 umenikumbusha mbali sana kuhusu Ally Maumba kwani hata uchezaji wa Nwako Kanu nilikuwa naufananisha sana na wa Ally Maumba hata Team kongwe ya Simba walimtafuta sana ili ajiunge na team yao lakini ilishindikana masikini sijui hata mpira wake uliishia wapi jamani!
ReplyDeleteMuddy
Mdau umenikumbusha mambo ya Marsha...nakumbuka alikuwa anacheza dakika tisini kwenye mvua bila kuchafuka.Kanzu alizokuwa anapiga si mchezo.....nakumbuka George weah alipigwa kanzu na marsha taifa,hakuamini...Marsha yu wapi waheshimiwa.....
ReplyDeleteMichael Paul 'lailoni'
ReplyDeleteMdau uliyeuliza MASHA ako wapi. MASHA ako UK ila sijui anafanya nini kwa sasa.
ReplyDeleteMdau-UKEREWE
inaonekana mimi mmenisahau!!! hamkumbuki mambo yangu nyie vijana wa siku hizi???
ReplyDeleteNi mimi
Athuman China.
Ni nylon sio "lailoni"asante
ReplyDeletewewe china ukumbukwe umefanya nini? siku hizi unazuiwa na watoto wadoogo hufurukuti mara unarusha ngumi.
ReplyDeleteImeshiptwa na wakati hii ina vumbi na watu tumeshafanya zaidi ya hio.
ReplyDeleteAlafu kumbe huyo aliyevalishwa kanzu mbili pamoja na mkanda kumbe ni Nedved, alafu mwaka huo huo akawa mchezaji bora Ulaya, wazungu bwana...
ReplyDeletemdau,
Ashkmatit
Wadau mbona mimi Zamoyoni Mogella (golden boy) hamnikumbuki?
ReplyDeleteHuyo aliyevishwa kanzu ni Nedved kweli na huyo mshikaji wake wa pili kuvaa darizi si mwingine ni yule mu argentina ambaye Beckham hawezi msahau, Diego Simeone, game ilikuwa Roma na Lazio wakati huo..wapinzani wa jadi wa jiji la Roma ambapo kuna wajomba wengine walishangazwa na vijana wa Guardiola...
ReplyDelete- mtaaluma huwezi hata kujua 'anapigia' mguu gani!..
ReplyDeleteJamani Wadau, Hivi Mnamkumbuka Marehemu Hamisi Gaga Gagarino, yule jamaa alikuwa Hatari, Hakuna Kiungo kama yule aliyepata kutokea Tanzania
ReplyDelete