ni wakati wa kongamano la wazi lililoandaliwa na chama cha CUF kuhusu matatizo kadhaa yaliyojitokeza visiwani hususan daftari la kudumu kupiga kura na daftari la ukaazi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyu Jamaa ni mtemi hasa. Hivi kama angekuwa amewekwa kiti moto na CCM na kumuomba data angejibu kijeuri hivyo?. Kweli bado tuna safari ndefu sana za kujenga demokrasia ni pamoja na kubadili mawazo ya watu ya namna hii.

    Yaani Lipumba anaendelea kuuliza yeye hata kusikiliza hasikilizi anatafuta docs na kumtupia Hamad Yusuf. Nafikiri tunatakiwa kujenga utamaduni wa kuheshimiana maana kama mtu ana dhamana ya kusikiliza rufaa za watu inaonekana atakuwa anatisha watu wakifika kwake kwa jinsi anavyoonekana mbabe.

    Yaani alichokifanya hapo si kusolve tatizo bali ni kuiongeza kwa kudhihirishia umma kuwa yeye ni representative sample ya watendaji wa serikali ya SMZ kuanzia masheha n.k.

    ReplyDelete
  2. jamani hebu Michuzi, nisaidie, Mtanzania ni nani? Na Mzazibari anaekaa Tanzania bara anatakiwa kupewa kitambulisho cha Ubara au vipi?
    na kwa nini mtu kutoka Tanzania bara apewe kitambulisho baada ya miaka kumi ya kukaa Zanzibar kwani amebadilisha nchi?

    ReplyDelete
  3. Jee unawakumbuka Janjaweed wa znz ktk uchaguzi wa mwaka 2005? jee unawajua master minders wake?
    Nawasilisha!!!!

    ReplyDelete
  4. LIPUMBA AKIMWAGA PUMBAZE

    ReplyDelete
  5. Aisee huyu waziri kanipa ya mwaka yaani watanzania tokabara wanaoishi Zanzibar hawana haki kama wazanzibari ila watanzania toka zanzibar wanaoishi bara wanahaki kama Wabara...Du taabu kwelikweli, Unajua wakati Mzee Nyerere aliposema kwamba kwa wenzetu kuna WANZIBARI NA WAZANZIBARA ktk moja ya hotuba zake nilikuwa sikumwelewa vizuri BUT KNOW I DO.
    Ndugu michuzi naomba uniwekee wimbo wa "Msinitenge"
    Thanx

    ReplyDelete
  6. YALEYALE WAZANZIBARI NA WAZANZIBARA

    ReplyDelete
  7. Mzee Nanihii,

    Huyu Waziri amejitahidi kueleza mtzamo wake. Sijui kama kuna uwezekano wa kusikia na upande wa hao wanaolalamika tukaweza kujua hoja zao na wanahisi tatizo ni nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...